Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Rada: Je, Dola Hubakia Dola Ikiwa Utawala Wake Umekiukwa na Usalama Wake Umevunjwa?! Imeandikwa na Mwalimu/ Ghada Abdel Gabbar Umm (Awab)

Rada: Je, Dola Hubakia Dola Ikiwa Utawala Wake Umekiukwa na Usalama Wake Umevunjwa?! Imeandikwa na Mwalimu/ Ghada Abdel Gabbar Umm (Awab)

Serikali ya Sudan ilikaribisha tena msaada wa kibinadamu, lakini ilisisitiza wakati huo huo kwamba haitasita na ukiukwaji wowote unaoathiri usalama wa jamii au kutumiwa kisiasa chini ya kivuli cha kazi ya kibinadamu, na Makamu wa Rais wa Baraza la Utawala Malik Agar alihimiza wakati wa mkutano wake na ujumbe wa shirika la Ufaransa la Promediation, likiongozwa na Eric Blancho, Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, akihudhuriwa na Dk. Vincent Darac, Mkurugenzi wa Mkoa, juu ya hitaji la shirika kuzingatia suala la upatanisho wa jamii ili kuwa mstari wa mbele katika ajenda yake ya kazi nchini Sudan.

Rada: Habari Mpya Kuhusu Vita Sudan na Mwalimu/Abdul Salam Ishaq

Rada: Habari Mpya Kuhusu Vita Sudan na Mwalimu/Abdul Salam Ishaq

Baraza la Usalama lilifanya kikao kuhusu Sudan katika makao yake makuu mjini New York siku ya Ijumaa, Juni 27, 2025, na hotuba ya Katibu Mkuu Msaidizi wa Masuala ya Afrika, Martha Bope, ilisema: (Wiki iliyopita, Baraza la Usalama liliwasikiliza wenzetu katika uwanja wa kibinadamu kuhusu hali mbaya. Tunatafuta usitishaji vita wa kibinadamu uliotarajiwa na uliopangwa ili kuwezesha harakati salama za misaada ya kibinadamu kwenda na kutoka maeneo yaliyoathiriwa na mapigano yanayoendelea, kuanzia El Fasher, na kuruhusu raia kuondoka kwa hiari na kwa usalama.

244 / 10603