Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Rada: Hizb ut-Tahrir Wilaya ya Sudan Yafanya Kongamano la Kila Mwezi la Masuala ya Umma Lenye Kichwa cha Habari cha Al-Fashir, Kituo Kikali Zaidi Katika Mzozo wa Kimataifa Juu ya Sudan

Rada: Hizb ut-Tahrir Wilaya ya Sudan Yafanya Kongamano la Kila Mwezi la Masuala ya Umma Lenye Kichwa cha Habari cha Al-Fashir, Kituo Kikali Zaidi Katika Mzozo wa Kimataifa Juu ya Sudan

Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan ilifanya kongamano la kila mwezi la masuala ya umma, lenye kichwa cha habari: (Al-Fashir, Kituo Kikali Zaidi Katika Mzozo wa Kimataifa Juu ya Sudan), Jumamosi, 10 Jumada al-Ula, 1447 Hijria, sawia na 01/11/2025 Miladia, katika ofisi yake huko Port Sudan, ambapo walizungumza katika kongamano hilo: Mwalimu Muhammad Jami Abu Ayman - Msaidizi wa Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan, na Mwalimu Ibrahim Musharraf - Mwanachama wa Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan.

Abu Wadaha News: Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Jimbo la Sudan katika Taarifa za Moto na za Ujasiri kuhusu Hali ya Kisiasa ya Sasa

Abu Wadaha News: Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Jimbo la Sudan katika Taarifa za Moto na za Ujasiri kuhusu Hali ya Kisiasa ya Sasa

Mahojiano na Ibrahim Othman Abu Khalil, Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Jimbo la Sudan. Hizb ut-Tahrir Jimbo la Sudan ni moja ya vyama vya siasa vyenye shughuli nyingi hata wakati wa vita, kwani inafuatilia vizuri matukio na ina maono ambayo haifichi, watu wanakubaliana nayo au hawakubaliani nayo. Wakati kazi ilikwama Khartoum kwa sababu ya vita, chama kilihamia Port Sudan, mji mkuu wa utawala, na kukodisha ofisi ambayo iliendelea na shughuli zake kupitia hiyo. Al-Nile International ilikuwa na mkutano huu na Bwana Ibrahim Othman Abu Khalil, msemaji.

Jibu la Swali: Sudan Baada ya Utawala wa Usaidizi wa Haraka kwa Al-Fashir

Jibu la Swali: Sudan Baada ya Utawala wa Usaidizi wa Haraka kwa Al-Fashir

(Musad Bulus, mshauri mkuu wa Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu masuala ya Mashariki ya Kati, alithibitisha kwamba jeshi la Sudan na vikosi vya usaidizi wa haraka vimekubaliana na usitishaji vita wa miezi mitatu, kulingana na mpango wa kundi la nne ambalo linajumuisha Umoja wa Falme za Kiarabu, Marekani, Saudi Arabia na Misri, na ilitangazwa mnamo Septemba 12 iliyopita ... Sky News Arabia, 2025/11/3), na idhini hizi kwa mpango wa Marekani kutoka pande za Sudan,

Katika Msururu wa Mashambulizi ya Marekani ya Kawaida na Kujisalimisha! Ziara Mpya Inayorudiwa na Mjumbe wa Marekani Ortagus Nchini Lebanon!

Katika Msururu wa Mashambulizi ya Marekani ya Kawaida na Kujisalimisha! Ziara Mpya Inayorudiwa na Mjumbe wa Marekani Ortagus Nchini Lebanon!

Katika kivuli cha mashambulizi ya Marekani dhidi ya Lebanon na kanda hiyo kupitia mradi wa kuhalalisha uhusiano na kujisalimisha, na jitihada za utawala wa Marekani chini ya uongozi wa Trump na timu yake za kuongeza idadi ya watawala wa nchi za Waislamu katika makubaliano ya Abraham, ziara ya mjumbe wa Marekani Morgan Ortagus nchini Lebanon na kwa taasisi haramu ya Kiyahudi inakuja, ikiwa imejaa shinikizo, vitisho, na masharti ya kisiasa, kiusalama na kiuchumi kwa Lebanon, ikizingatiwa kuwa ziara hii imefanyika sambamba na ziara ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na Mkurugenzi wa Ujasusi wa Misri, ili kuonekana kuwa inaelekea upande ule ule!

25 / 10603