Mtazamo wa Habari 2025/11/02
Vifaa vya Misri vinaingia eneo la hatari na Al-Qassam inathibitisha utayari wake wa kutoa maiti
Vifaa vya Misri vinaingia eneo la hatari na Al-Qassam inathibitisha utayari wake wa kutoa maiti
Uuzaji katika soko la Forex (soko la fedha za kigeni) kwa kutumia mkataba wa tofauti za bei (mkataba wa cfd), ambapo uuzaji na ubashiri hufanywa juu ya harakati ya bei ya mali, na sio kuinunua na kuiuza kama kawaida.
Jimbo la Tunisia: Toleo la 565 la Gazeti la Ukombozi Latolewa
Jimbo la Syria: Ubaguzi ni uhalifu dhidi ya muumini!
Anaye tafakari hali ya umma wa kiislamu leo, hawezi ila kuumia kwa yale ambayo hali yake imeishia nayo, ya udhalili na unyonge, na kutawaliwa na maadui kutoka kila upande. Mataifa yanatukabili kama alivyosema mpenzi mteule ﷺ: «Karibu mataifa yatakukabili kutoka kila upande kama vile walaji wanavyokimbilia kwenye sahani yake...», na hili ndilo tunaloliona kwa macho yetu leo; ardhi iliyochukuliwa kwa nguvu, damu inayomwagika, mali inayoibiwa, na waislamu wametawanyika chini ya bendera za Sykes-Picot, wamefungwa na mifumo vibaraka inayowatawala kwa chuma na moto, inawazuia kuinuka, na inazuia nguvu zao.
Pamoja na Qur'ani Tukufu - Surah Al-Kahf
Tunawasalimu nyote wapenzi wetu kila mahali, katika kipindi kipya cha programu yenu "Pamoja na Hadithi Tukufu" na tunaanza na salamu bora, Assalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh.
Habari:
Habari:
Himdi ni ya Mwenyezi Mungu, Mola wa walimwengu, na swala na salamu zimwendee Imamu wa wachamungu, na bwana wa mitume, aliyetumwa kama rehema kwa walimwengu, Bwana wetu Muhammad na ahli zake na masahaba zake wote, na tujaalie kuwa pamoja nao, na tukusanye katika kundi lao kwa rehema yako, Ewe Mwingi wa rehema kuliko wote wenye kurehemu.