Masomo Kutoka Katika Wasifu Sehemu ya 4 - Kupinga Da'wa kwa Vikwazo na Kuzingirwa - Abu Musab al-Shami
Masomo Kutoka Katika Wasifu Sehemu ya 4 - Kupinga Da'wa kwa Vikwazo na Kuzingirwa - Abu Musab al-Shami
Masomo Kutoka Katika Wasifu Sehemu ya 4 - Kupinga Da'wa kwa Vikwazo na Kuzingirwa - Abu Musab al-Shami
Rasimu ya Katiba ya Dola ya Khilafa - Ibara ya 175
Televisheni ya Al-Waqiyah: Tofauti kati ya Dhana na Ukweli!
Jimbo la Syria: Gesi ya Syria... Rasilimali Iliyosahaulika!
Ardhi Iliyobarikiwa: Neno la Msikiti "Ewe Mwenyezi Mungu, yeyote anayeshughulikia jambo la Waislamu na akawafanyia ugumu, basi mfanyie ugumu!"
Jimbo la Syria: Lugha ya Mwoga Mfilisi!
Ardhi Iliyobarikiwa: Darsa ya Msikiti "Ewe Mwenyezi Mungu, wapige madhalimu kwa madhalimu!"
Kufuatia mashambulizi ya chuki ya Wayahudi dhidi ya nchi za Waislamu siku ya Alhamisi tarehe 23 Dhul-Hijjah 1446 Hijria, sawia na 2025/6/19 Miladia, mamlaka za usalama katika mji wa Al-Qadarif nchini Sudan ziliwakamata vijana watatu wa Hizb ut-Tahrir, na mmoja wa waliohudhuria, baada ya kumalizika kwa hotuba katika soko la Al-Qadarif, iliyoizungumzia hali halisi ya vita vya chuki ya Wayahudi dhidi ya Iran, na furaha ya Waislamu kwa kuupiga utawala huu dhalimu, na uharibifu ulioupata, na ikaeleza kuwa furaha ya kweli itakuwa ni kwa kusimamisha Khilafah,
Hizb ut-Tahrir katika jimbo la Tunisia inamtangazia msiba wa mmoja wa wanaume wake kutoka kwa wabebaji da'wa, ami na ndugu simba wa da'wa Bashir Qasila, ambaye amefariki, siku ya Jumapili tarehe ishirini na sita ya Dhul-Hijjah 1446 Hijria, sawia na 2025/06/22 Miladia, baada ya kuugua, ugonjwa uliomlemaa mwili wake lakini haukuzima mwenge wa ujumbe wake wala azma yake ya kufanya kazi