Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Mtazamo wa Habari 22-06-2025

Mtazamo wa Habari 22-06-2025

Al Jazeera Net, 2025/6/20 - Wakati Waislamu wanasubiri matendo badala ya maneno mbele ya shambulio la Wayahudi na Magharibi linaloendelea dhidi ya nchi za Kiislamu, rais wa Uturuki, ambaye anajulikana kwa makelele, anaendelea nayo na anashambulia chombo cha Kiyahudi kwa maneno tu! Alisema kuwa Waziri Mkuu wa chombo cha Kiyahudi Netanyahu na serikali yake wameandika majina yao pamoja na madikteta kama vile Hitler, akishutumu ukiukwaji wa chombo cha Kiyahudi huko Gaza na shambulio dhidi ya Iran, ambayo alionya kuwa inakaribia "hatua ya kutorejea".

267 / 10603