Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Jarida la Ar-Raya: Kongamano la "Amani ya Kiraia" huko Damascus Lilipuuza Ukweli na Kuwaachilia Huria Mafisadi wa Utawala Uliopita

Jarida la Ar-Raya: Kongamano la "Amani ya Kiraia" huko Damascus Lilipuuza Ukweli na Kuwaachilia Huria Mafisadi wa Utawala Uliopita

"Kamati ya Amani ya Kiraia" ilifanya mkutano na waandishi wa habari Jumanne, Juni 10, 2025 katika jengo la Wizara ya Habari huko Damascus, ambapo walijadili maendeleo ya hivi karibuni yanayohusiana na kazi ya kamati, chini ya usimamizi wa mwanachama wa kamati Hassan Soufan na kuhudhuriwa na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani Nour El-Din Al-Baba na Waziri wa Habari Hamza Mustafa. Soufan alifungua mkutano huo kwa kuibua suala la maafisa waliokuwa wameachiliwa hivi karibuni kutoka kwa wanachama wa utawala uliopita, akieleza kuwa walijiunga na kazi ya kijeshi tangu 2021,

Jarida la Ar-Raya: Msafara wa Msimamo Imara Kati ya Ushawishi wa Utawala wa Misri na Ulazima wa Jeshi Lake Kuchukua Hatua

Jarida la Ar-Raya: Msafara wa Msimamo Imara Kati ya Ushawishi wa Utawala wa Misri na Ulazima wa Jeshi Lake Kuchukua Hatua

Wakati viongozi wa tawala za Kiarabu wanaadhimisha mikutano mitupu na makongamano ya udanganyifu, msafara wa wananchi uliojiita "Msafara wa Msimamo Imara", ulitoka Tunisia, Algeria, na Morocco kuelekea Gaza kupitia Libya na Misri, kwa lengo la kuvunja mzingiro na kuunga mkono watu wa Ukanda uliyo mzingirwa kwa zaidi ya miezi 18. Msafara huo ulibeba wanaume na wanawake wa rika tofauti, waliokusanyika kwa lengo moja la kuvunja mzingiro huu unaowekwa na shirika la Kiyahudi kwa watu wa Gaza, kwa ushirikiano na ushiriki wa moja kwa moja wa tawala za jirani, hasa utawala wa Misri.

Jarida la Ar-Raya: Ushirika na Siasa katika Mtazamo wa Kiislamu

Jarida la Ar-Raya: Ushirika na Siasa katika Mtazamo wa Kiislamu

Imejitokeza miongoni mwa Waislamu katika zama hizi, anayesema uharamu wa ushirika na siasa, na hili ni jambo hatari lenyewe na matokeo yake yanaendeshwa na wachochezi, ili kuondoa Uislamu kutoka kwenye maisha. Tukizingatia dalili ambayo uharamu huu umesimamia, tunaipata kuwa dalili ya akili, na haina hata shubha ya dalili ya kisheria, kwa maana kwamba wasemaji wake waliangalia ukweli wa ufisadi unaotokana na uwepo wa vyama hivi vya siasa vilivyopo, na kwa mtazamo wa jumla walifanya ukweli kuwa chanzo cha sheria na kutoa hukumu ya akili juu ya uharamu wa ushirika na uharamu wa siasa.

Jarida la Ar-Raya: Ziara ya Rais wa Ufaransa Kusini Mashariki mwa Asia na Sera ya Diplomasia Laini

Jarida la Ar-Raya: Ziara ya Rais wa Ufaransa Kusini Mashariki mwa Asia na Sera ya Diplomasia Laini

Ziara ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron Kusini Mashariki mwa Asia (Vietnam, Indonesia, Singapore) kutoka tarehe 25 hadi 30 Mei 2025 inakuja kama sehemu ya mkakati wa Ufaransa wa "kuelekea Bahari za Hindi na Pasifiki", ambao ulizinduliwa rasmi mwaka 2018 kama jibu kwa mabadiliko ya kijiografia katika eneo hilo, kama vile makubaliano ya "Aukus" ambayo yaliitenga Ufaransa na kuigharimu mkataba wa manowari na Australia, na kama vile chama cha "ASEAN" ambacho kinawakilisha kundi muhimu la kiuchumi katika eneo hilo.

Jarida la Ar-Raya: Mada Mbalimbali za Ar-Raya – Toleo la 552

Jarida la Ar-Raya: Mada Mbalimbali za Ar-Raya – Toleo la 552

Enyi Umma wa Kiislamu: Hakika nyinyi ni umma unaostahili kuongoza mataifa, na dola yenu iwe dola ya kwanza ulimwenguni bila ubishi na kuchora ramani ya msimamo wa kimataifa, na hilo halitatimia ila mkiisimamisha dola hii. Je, wakati wa mabadiliko umefika, na wakati wa kuamka baada ya usingizi mrefu umefika? Basi jikakamueni, enyi umma wa Kiislamu, na fanyeni haraka kufanya kazi pamoja na wafanyakazi ili kuimarisha Khilafa, ngome yenu imara, na taji la faradhi za Mola Mlezi wa walimwengu.

Majibu ya Serikali katika Nchi za Waislamu kwa Uchokozi wa Wayahudi dhidi ya Iran Yanaaibisha!

Majibu ya Serikali katika Nchi za Waislamu kwa Uchokozi wa Wayahudi dhidi ya Iran Yanaaibisha!

Mfuatiliaji wa majibu ya serikali zilizopo katika nchi za Waislamu kwa mashambulizi ya taasisi ya Kiyahudi dhidi ya Iran; moyo wake umejaa huzuni na masikitiko kwa hali iliyowafikia Waislamu, baadhi yao ni wenye kulaani na kukemea, na baadhi yao wanaogopa kutokea kwa machafuko katika eneo hilo kutokana na mashambulizi haya, na baadhi yao wanaiona kama hatua hatari, na baadhi yao wameonyesha hofu yao juu ya athari ya hatua hii kwa suala la Palestina, na baadhi yao wametangaza utayari wao wa upatanishi kati ya Iran na taasisi ya Kiyahudi, na njia yao bora zaidi ni yule aliyetangaza

276 / 10603