Na Mwenyezi Mungu hakuwa mghafilu kwa yale wanayoyafanya madhalimu
Tunaona kuwa vyombo vya usalama vya serikali nchini Kyrgyzstan vinawakamata wahalifu waliofanya uhalifu mbalimbali, na baadhi yao wanatuhumiwa kuwa wanachama wa genge la uhalifu, wakati wengine wanatuhumiwa kwa rushwa, mauaji na mashtaka mengine kama hayo. Ikiwa kweli wanahusika katika uhalifu kama huu, basi pia wanachukuliwa kuwa wahalifu kwa mujibu wa sheria za Kiislamu. Lakini wakati huo huo, tunashuhudia kwamba kuna