Wakala wa Habari: Hizb ut-Tahrir: Hakitaacha kuenea kwa wanamgambo na majeshi sambamba isipokuwa Ukhalifa Rashidah kwa njia ya Utume
Kongamano la Tementai limetangaza muungano wa kijeshi unaoitwa Kikosi cha Pamoja cha harakati za mashariki mwa Sudan, ambacho kinajumuisha vikosi vya Kongamano la Beja, Uongozi Mkuu, unaoongozwa na Muhammad Tahir, vikosi vya Orta ya Mashariki, vinavyoongozwa na Kamanda Al-Amin Daoud, na Upinzani wa Watu, na Wanahamasishaji, wakiongozwa na Al-Nadhir Turk. Tangazo hili linakuja katika mazingira ya vita ambavyo visingekuwepo bila kuwepo kwa jeshi sambamba na jeshi la serikali; Vikosi vya Msaada wa Haraka, vita hivi ambavyo vimeharibu kila kitu,