Mtazamo wa Kisiasa Kuhusu Dalili za Saa - 23
Mtazamo wa Kisiasa Kuhusu Dalili za Saa - 23
Mtazamo wa Kisiasa Kuhusu Dalili za Saa - 23
Enyi Waislamu: Hakika Waislamu, wanazuoni, na harakati za Kiislamu wanapaswa kukusudia kumtegemea Allah pekee, na wajiharamishie kile ambacho Allah Mtukufu amewaharamishia cha kutafuta msaada kutoka kwa Magharibi ya kibepari kafiri, na tunatangaza mbele ya Allah tukitafuta radhi yake, na mbele ya Umma wa Kiislamu kwamba tunautaka na tunajitahidi kuusimamisha na tunautangaza kuwa ni kwa ajili ya Allah pekee:
Mnamo tarehe kumi na tatu ya Oktoba 2025, kongamano pana la kimataifa lilifanyika katika mji wa Sharm El-Sheikh nchini Misri, lenye jina "Mkutano wa Amani wa Sharm El-Sheikh," kwa ushiriki wa zaidi ya nchi ishirini na mashirika ya kimataifa, likiongozwa na Rais wa Amerika Trump na Rais wa Misri Sisi, na kwa uwepo wa idadi ya viongozi wa Kiarabu na Magharibi, pamoja na wawakilishi kutoka Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya na Afrika. Kongamano hili lilikuja baada ya kutangazwa kwa makubaliano ya kusitisha vita dhidi ya Gaza, ambayo ilijumuisha kubadilishana wafungwa, kufungua njia ndogo za misaada, na kupanga upya hali ya Gaza chini ya usimamizi wa kimataifa.
Rais wa kipindi cha mpito nchini Syria, Ahmad al-Sharaa, akiandamana na ujumbe rasmi uliomjumuisha waziri wake wa mambo ya nje, Asaad al-Shaibani, alizuru mji mkuu wa Urusi, Moscow, tarehe 15/10/2025, na walikutana na Rais wa Urusi Putin katika ziara rasmi ya kwanza baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad mwishoni mwa mwaka jana.
Tangu kuzuka kwa mapinduzi ya Desemba 2018, maoni ya umma ya Sudan yameelekezwa kupitia vyombo vya habari na ujasusi kuelekea chaguzi mbili ambazo hazina ya tatu: ama serikali ya kiraia ya kidemokrasia, au serikali ya kijeshi. Mwelekeo huu haukuwa wa bahati, lakini ulikuwa sehemu ya maandalizi ya awali ya vita vya ndani vinavyohudumia mradi wa kimataifa unaolenga kuivuruga Sudan, kama alivyosema Jenerali Abdel Fattah Al-Burhan, Mkuu wa Baraza la Utawala, mnamo Juni 27, 2023, akisema: "Nchi yetu inakabiliwa na njama ambayo nia yake ni kuvunja umoja wa nchi."
Uchumi wa Uzbekistan uliharibika baada ya kusambaratika kwa Umoja wa Kisovieti na uhuru wake, ambapo mamilioni ya Wazarbeki waliondoka nchini mwao kutafuta kazi, hasa kwenda Urusi, ambako walikuwa wafanyakazi wahamiaji na walikaa huko kwa miaka mingi. Serikali haikuweza kuwapatia nafasi za kazi, wala kurekebisha uchumi, wala haikujenga viwanda na maabara mpya, bali iliharibu viwanda na maabara ambavyo vilikuwepo tangu enzi ya Kisovieti.
Dhana ya mahitaji ya kibinadamu na mpangilio wake ni miongoni mwa masuala muhimu ambayo yamechukua akili za kiuchumi za kisasa, hasa katika mazingira ya pengo kubwa kati ya utajiri mwingi unaofurahiwa na wachache wa wanadamu, na umaskini mkubwa unaosumbua idadi kubwa ya watu duniani. Takwimu za kimataifa zinafunua picha mbaya: watu bilioni wanaishi katika hali ya njaa kali, bilioni 1.5 wamenyimwa huduma za msingi za afya, na bilioni nyingine hawapati maji safi ya kunywa, wakati 76% ya watu wa dunia wanamiliki 20% tu ya mapato ya dunia.
Swali linaloletwa na matukio yanayoukumba umma mara kwa mara, na pia swali linaongezeka katika nyakati hizi katika kile kinachoonekana kama lawama na shutuma kwa umma, kutokana na kile ambacho Gaza inakumbana nacho cha mzingiro na mauaji ya halaiki na Wayahudi wahalifu.
Katika jamii za Magharibi, vuguvugu za uke zimeibuka ambazo zinakumbatia mawazo potovu yanayotoa wito wa ukombozi kamili wa wanawake, kutokana na dhuluma ambayo wanawake wamefanyiwa huko na kunyimwa haki zao za msingi katika mfumo wa kilimwengu ambao umewapeleka kwenye mazingira ya umaskini na mateso.
Enyi wanazuoni wa umma: Hakika nyinyi ni warithi wa manabii na waaminifu wa mitume kwa waja wa Mwenyezi Mungu, basi bebeni urithi wenu na muwe katika kiwango cha uaminifu wenu kama viongozi wa umma katika njia ya kurejea kwake kuwa bibi wa dunia, basi bebeni ili kuunyakua utawala wake kutoka kwa wale waliompora, na kung'oa mipaka hiyo ambayo imechorwa na magharibi baina ya nchi zake na kuirejesha yote kuwa dola moja kama ilivyokuwa, na mtaupatia bay'a nyinyi na umma khalifa atakayesimamisha kwenu hukumu ya Mwenyezi Mungu, ili watu waione ikiwa uhalisia wa kivitendo uliotekelezwa basi wataingia katika dini ya Mwenyezi Mungu makundi kwa makundi, basi ni furaha iliyoje kwenu na shangwe yenu wakati huo na kheri hii yote imo katika sahifa yenu na kwa hiyo mnamlaki Mola wenu.