Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Uchunguzi wa Awali wa Kidemokrasia na Upotoshaji wa Picha ya Waislamu

Uchunguzi wa Awali wa Kidemokrasia na Upotoshaji wa Picha ya Waislamu

Mnamo tarehe 22 Oktoba 2025, vyombo kadhaa vya habari viliripoti kwamba Kamati ya Uhamiaji na Uraia katika Bunge la Denmark ilikataa kumpa uraia mwanamume Muislamu kwa sababu ya maadili yake ya Kiislamu, na licha ya yeye kutimiza masharti yote magumu ya uraia wa Denmark, wengi wa wajumbe wa kamati waliamua kwamba "kutetea maadili ambayo yanapingana kabisa na maadili yetu, kunapingana na uraia wa Denmark". Ama Wanademokrasia wa Kijamii, ambao kama kawaida yao hutumia mazingira ya chuki dhidi ya Uislamu kujaribu kupunguza makali ya kushindwa kwao kuepukika na karibu kwa uchaguzi,

42 / 10603