Mtazamo wa Kisiasa kuhusu Alama za Saa - 22
Mtazamo wa Kisiasa kuhusu Alama za Saa - 22
Mtazamo wa Kisiasa kuhusu Alama za Saa - 22
Hakika kusimamisha Khilafa juu ya njia ya Utume kama alivyotoa bishara kwayo Mtume wa Mwenyezi Mungu صلى الله عليه وسلم, kunahitaji kwanza kuwa mamlaka ya Umma ni ya asili; na ili mamlaka ya Umma iwe ya asili ni lazima ifanye kazi kwa uwezo wake wa asili, na juhudi zake za asili, ikitumia uwezekano wake wa asili, ikimtegemea Mwenyezi Mungu pekee Subhaanahu,
Televisheni ya Al-Waqiyah: Kwa kifupi "Kudumisha Ukaliaji kwa Jina la (Amani)!"
Tunaishi leo katika hali isiyo ya kawaida na isiyo na kifani ya misukosuko ya kiuchumi na kijeshi ambayo inafanya matarajio ya ukuaji wa uchumi wa baadaye kukabiliwa na changamoto kubwa, na hii inaambatana na udhaifu wa zana za kimataifa za kifedha kwa ujumla, ambayo imesababisha mzozo kwa ujumla kukiuka waziwazi viwango vya kibinadamu na maadili, ambayo itasababisha kukataliwa kwa ulimwengu wa nguvu moja, na hii inafanikiwa waziwazi wakati kandarasi ya kiuchumi iliyoanzishwa na Amerika kama chombo cha kudhibiti ulimwengu hadi leo inapotokea na kuvunjika,
Mji wa Gabes unakumbwa na janga kubwa, ambalo linaua pumzi zake polepole kutokana na mzozo wa kimazingira unaotokana na utoaji wa hewa chafu kutoka kwa kiwanda cha kemikali.
Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan inafurahia kuwaalika wanahabari, wanasiasa, na wote wanaopenda masuala ya umma, kuhudhuria na kushiriki katika kipindi kipya cha Saluni ya Kisiasa, ambapo atakuwa mgeni mwalikwa Ustadhi Muhammad Jami' (Abu Ayman), msaidizi wa msemaji rasmi wa Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan, yenye kichwa:
Televisheni ya Al-Waqiyah: Hakika uumbaji na amri ni Zake!
إِنَّ الَّذِينَ يَكْفُرُونَ بِاللَّهِ وَرُسُلِهِ وَيُرِيدُونَ أَن يُفَرِّقُوا بَيْنَ اللَّهِ وَرُسُلِهِ وَيَقُولُونَ نُؤْمِنُ بِبَعْضٍ وَنَكْفُرُ بِبَعْضٍ وَيُرِيدُونَ أَن يَتَّخِذُوا بَيْنَ ذَٰلِكَ سَبِيلًا (150)
Pamoja na Qur'ani Tukufu - Sura ya Israa
Tunakusalimu nyote, wapenzi wasikilizaji wazuri kila mahali, tunakutana nanyi katika kipindi kipya cha kipindi chenu "Pamoja na Hadithi Tukufu za Kinabii" na tunaanza na salamu bora na iliyo safi zaidi, amani iwe juu yenu na rehema za Mungu na baraka zake, na baada ya hayo: