Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Sauti ya Kizazi: Taarifa kutoka Hizb ut-Tahrir ikilaani kukamatwa kwa vijana wa chama hicho katika mji mkuu wa Beirut wakati wakisambaza vipeperushi vinavyolaani mashambulizi ya Israel.

Sauti ya Kizazi: Taarifa kutoka Hizb ut-Tahrir ikilaani kukamatwa kwa vijana wa chama hicho katika mji mkuu wa Beirut wakati wakisambaza vipeperushi vinavyolaani mashambulizi ya Israel.

Katika kurudi kwa mbinu ya kukamatwa kiholela, na matendo ya vyombo vya usalama bila hati yoyote ya kisheria, watu -waliojulikana baadaye kuwa ni kutoka kwa chombo cha usalama kinachohusika na mamlaka- wakiwa kwenye pikipiki waliwakamata vijana wawili kutoka Hizb ut-Tahrir katika wilaya ya Lebanon wakati wakisambaza taarifa inayokosoa na kushambulia mashambulio na kuendelea kwa uadui wa Wayahudi dhidi ya Lebanon na watu wake, leo 17/10/2025 baada ya sala ya Ijumaa kutoka mbele ya msikiti wa Imam Ali katika eneo la Al-Tariq al-Jadida katika mji mkuu wa Beirut!.

Rada: Watu wa Sudan watampata lini msaidizi wa haki wa kuwaokoa?

Rada: Watu wa Sudan watampata lini msaidizi wa haki wa kuwaokoa?

Tovuti ya Sudan Tribune ilitangaza kuuliwa kwa raia wasiopungua 60 na kujeruhiwa kwa wengine wengi katika shambulio lililofanywa na Kikosi cha Msaada wa Haraka siku za Ijumaa na Jumamosi kwenye kituo cha kuwahifadhi wakimbizi katika mji wa El Fasher, mji mkuu wa jimbo la Darfur Kaskazini, kulingana na mashuhuda na vyanzo vya matibabu. Kwa siku kadhaa, Kikosi cha Msaada wa Haraka kimekuwa kikishambulia kwa mizinga na ndege zisizo na rubani malengo ya raia,

Rada: Sudan Kati ya Mporomoko na Kuvunjika: Taswira ya Hali ya Sasa

Rada: Sudan Kati ya Mporomoko na Kuvunjika: Taswira ya Hali ya Sasa

Huku mizozo inayofuatana ikiongezeka nchini Sudan; kuanzia kuporomoka kwa miundombinu ya afya hadi kuzorota kwa mizozo ya silaha, mandhari ya giza zaidi inaonekana, ambayo sura zake zinachorwa katika vyumba vya siasa za kimataifa na zana zake zinatumiwa ndani ya nchi. Lakini ukweli ni kwamba kinachotokea ni utekelezaji wa kimfumo wa mpango wa kikoloni unaolenga kuivunja Sudan, kupora utajiri wake, na kuiondoa kwenye mradi wa Uislamu wa kisiasa, katika mfumo wa kuunda upya eneo hilo kwa njia ambayo inahudumia maslahi ya nguvu za Magharibi.

53 / 10603