Pamoja na Hadithi Tukufu - "Mlango Kuhusu Kile Kilichokuja Kuhusu Imamu Mwadilifu"
Tunawasalimu nyote wapenzi wasikilizaji kila mahali, katika kipindi kipya cha programu yenu "Pamoja na Hadithi Tukufu" na tunaanza na salamu bora, basi Amani iwe juu yenu pamoja na rehema za Mungu na baraka zake.