Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Rada: Trump ndiye msaidizi mkuu wa taasisi ya Kiyahuudi katika uhalifu wake mbaya huko Gaza na Palestina yote!! Imeandikwa na: Ata bin Khalil Abu Al-Rashtah

Rada: Trump ndiye msaidizi mkuu wa taasisi ya Kiyahuudi katika uhalifu wake mbaya huko Gaza na Palestina yote!! Imeandikwa na: Ata bin Khalil Abu Al-Rashtah

Trump alitaja katika chapisho kwenye jukwaa lake la Truth Social: ("Tulikuwa na mazungumzo yenye kujenga na ya kutia moyo sana na nchi za eneo la Mashariki ya Kati kuhusu Gaza," akiongeza kuwa yalikuwa ya kina na yalidumu kwa siku 4. Alisema yataendelea kwa muda mrefu kama inahitajika "ili kufikia makubaliano kamili kwa mafanikio." TRT Kiarabu, 27/09/2025).

Utiifu wa Mfumo wa Misri Kati ya Usaliti wa Umma na Utekelezaji wa Miradi ya Amerika huko Gaza

Utiifu wa Mfumo wa Misri Kati ya Usaliti wa Umma na Utekelezaji wa Miradi ya Amerika huko Gaza

Haifichiki kwa mtu yeyote kwamba mfumo wa Misri umevuka mipaka ya uzembe hadi kufikia ushirikiano wa moja kwa moja na miradi ya Amerika na taasisi ya Kiyahudi, ambayo inafichuliwa na matamshi ya hivi majuzi ya waziri wa mambo ya nje wa Misri kuhusu "kusubiri mtazamo wa Amerika kuhusu Gaza," na sifa kwa Trump kama "mtu wa amani," na matumaini kwamba atasimamisha mapigano dhidi ya taasisi ya Kiyahudi. Hizi ni misimamo ya kufichua ambayo si maneno tu ya kupita, bali yanaeleza ukweli wa sera ya mfumo wa Misri iliyofungwa na pingu za Camp David, na inayoshiriki katika uhandisi wa mandhari ya kisiasa na kijeshi nchini Palestina kwa njia ambayo inahudumia kuendelea kuwepo kwa uvamizi na kulinda maslahi yake.

84 / 10603