Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Kongamano la Masuala ya Umma
Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Kongamano la Masuala ya Umma
Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Kongamano la Masuala ya Umma
Kujisalimisha na kuondoa silaha, kurejesha mateka na mabaki ya maiti, na uvamizi unaoongozwa na Amerika na kuongozwa na Trump kwa jina la Baraza la Amani, na kuteuliwa kwa mchukia Uislamu Tony Blair, na kutekelezwa na tawala za eneo hilo, hizo ndizo sifa za mpango mpya wa Trump ambao alitangaza na kuwashukuru viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu na washirika wake huko Uropa kwa kuuitikia, na alitangaza kuwa viongozi wa eneo hilo wanashiriki kikamilifu katika mpango wa amani.
Hatukushangazwa, kama ambavyo Umma wa Kiislamu haukushangazwa, na kukaribisha kwa wasaliti watawala wa Waislamu mpango wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kupoteza Gaza, kwani wametuzoesha ulegevu, bali kula njama na makafiri wakoloni kuhusu masuala yetu, na Trump alikuwa amekutana na idadi yao huko New York pembezoni mwa mikutano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Jumanne 2025/9/23, hivyo walimsifu, na wakasema wanategemea kwake kumaliza vita dhidi ya Gaza, na mara tu Trump alipotangaza mpango wake wa kikoloni, walikimbilia kuukaribisha,
Televisheni ya Al-Waqiyah: Tafsiri ya Aya (147) kutoka Sura An-Nisaa
Pamoja na Qur'ani Tukufu - Sura Al-Imran
Tunakusalimu nyote wapenzi wasikilizaji popote mlipo, tunakutana nanyi katika kipindi kipya cha kipindi chenu "Pamoja na Hadithi Tukufu za Mtume" na tunaanza na salamu bora na njema, amani iwe juu yenu na rehema na baraka za Mwenyezi Mungu, na baada ya hayo:
Kutoka kwa Maneno na Semi za Amir wa Hizb ut-Tahrir, Mwanachuoni Mtukufu, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah
Habari:
Habari:
Fikra sahihi za kisiasa, ambazo ni kufikiria matukio, zinahitaji mambo matano, la kwanza ni kufuatilia habari na kwa mazoezi mtu anatambua ni zipi zinapaswa kufuatiliwa, na zipi ni muhimu katika duru za maarifa. Pili ni taarifa, hata kama za awali, kuhusu maana za matukio,