Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Jibu la Swali: Mtazamo wa Marekani Kuhusu Suluhu la Tatizo la Kupro

Jibu la Swali: Mtazamo wa Marekani Kuhusu Suluhu la Tatizo la Kupro

(Ofisi ya Rais wa Uturuki ilitangaza Jumatatu kwamba Rais wa Jamhuri ya Kituruki ya Kupro ya Kaskazini, Tufan Erhurman, atazuru Ankara Alhamisi ijayo, 2025/11/13. Mkuu wa Idara ya Mawasiliano katika Ofisi ya Rais wa Uturuki, Burhanettin Duran, alisema ziara ya Erhurman Ankara inafuatia mwaliko wa Rais Erdoğan, na Duran aliongeza kuwa ziara hiyo itakuwa kituo cha kwanza cha Erhurman nje ya nchi. Mnamo Oktoba 19, Tume Kuu ya Uchaguzi huko Kupro ya Kituruki ilitangaza ushindi wa kiongozi wa Chama cha Republican cha Kituruki, Tufan Erhurman, katika uchaguzi wa urais.

Kukubali kwa Jeshi la Sudan Kusitisha Mapigano Ni Lango la Kugawanya Nchi na Kuiga Mfumo wa Libya!

Kukubali kwa Jeshi la Sudan Kusitisha Mapigano Ni Lango la Kugawanya Nchi na Kuiga Mfumo wa Libya!

Katika muktadha wa mazungumzo ya Washington yanayoendelea kati ya Jeshi la Sudan na Vikosi vya Msaada wa Haraka, kuna wasiwasi halisi kwamba usitishaji huu wa mapigano uliopendekezwa sio tu kusitisha mapigano kwa muda, lakini njia ya kurekebisha Sudan kisiasa na kijiografia, kulingana na mfumo wa Libya uliorudiwa: serikali mbili zinazopingana, moja Darfur na nyingine Khartoum, zinashiriki uhalali na mamlaka, na zinaendeshwa kutoka nje.

10 / 10603