Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Jarida la Ar-Raya: Jibu la Swali la Sudan Baada ya Vikosi vya Msaada wa Haraka Kudhibiti Al-Fashir

Jarida la Ar-Raya: Jibu la Swali la Sudan Baada ya Vikosi vya Msaada wa Haraka Kudhibiti Al-Fashir

(Musaad Boulos, mshauri mkuu wa Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu masuala ya Mashariki ya Kati, alisisitiza kuwa jeshi la Sudan na vikosi vya Msaada wa Haraka vimekubaliana na usitishaji mapigano wa miezi mitatu, kwa kuzingatia mpango wa Kundi la Nne, ambalo linajumuisha Imarati, Marekani, Saudi Arabia na Misri, na ulio tangazwa tarehe kumi na mbili Septemba iliyopita... Sky News Arabia, 2025/11/3), na makubaliano haya juu ya mpango wa Marekani kutoka kwa pande za Sudan, utawala na Msaada wa Haraka, yametokea baada ya Msaada wa Haraka kudhibiti mji wa Al-Fashir nchini Sudan...

Jarida la Ar-Raya: Tahadhari Magharibi isije ikavuna matunda ya mapinduzi yetu

Jarida la Ar-Raya: Tahadhari Magharibi isije ikavuna matunda ya mapinduzi yetu

Mapinduzi ya Sham yalianza kuangusha utawala katili kwa mikono ya watoto wake wema, na yalibeba kauli mbiu zilizo wazi ambazo zilikomaa kadiri muda ulivyopita zikieleza utambulisho wa mapinduzi haya yaliyobarikiwa, kwani hayakuwa ya kitaifa wala ya kizalendo bali yalikuwa ya Kiislamu tu, na kuthibitisha hili hakuhitaji maelezo mengi, kwani ushahidi unaoshuhudia juu ya hilo ni mwingi kuliko kuweza kuhesabika, na umeguswa na wa karibu na wa mbali, kwa hivyo mapinduzi ya Sham yalikuwa ya Kiislamu safi, Mungu alipenda yafichue taasisi hizo za uwongo za udanganyifu; kutoka kwa watawala wasaliti hadi Jumuiya ya Nchi za Kiarabu hadi Umoja wa Mataifa na Baraza lake la Usalama hadi haki za binadamu na majina mengine yanayobeba kauli mbiu zinazong'aa za uwongo za udanganyifu,

Jarida la Ar-Raya: Mada Mbalimbali za Ar-Raya – Toleo la 573

Jarida la Ar-Raya: Mada Mbalimbali za Ar-Raya – Toleo la 573

Enyi watu wa Sudan: Vita nchini Sudan na kwingineko vitaendelea kuwa kichocheo cha tamaa za kimataifa na mizozo yao kwa mipango yao mibaya, uingiliaji wao, na kuwapa pande zinazozozana silaha ili kuimiliki kikamilifu hadi lini?! Wanawake na watoto wenu wanateseka kwa zaidi ya miaka miwili kutokana na mzozo huu wa umwagaji damu ambao hautimizi chochote ila maslahi ya nchi za Magharibi na vibaraka wao katika kudhibiti hatima ya Sudan, ambayo daima imekuwa ni kitu cha kutamaniwa kwao kwa sababu ya eneo lake na utajiri wake, hivyo ni kwa maslahi yao kuipasua na kuitawanya. Na kutekwa kwa Al-Fashir na vikosi vya Rapid Support Forces ni sehemu nyingine tu ya mipango hii, ambapo Marekani inataka kutenganisha mkoa wa Darfur na kuimarisha ushawishi wake nchini Sudan na kukomesha ushawishi wa Uingereza humo.

Ujumbe kutoka Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan watembelea idadi ya mawakili huko Al-Ubayyid

Ujumbe kutoka Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan watembelea idadi ya mawakili huko Al-Ubayyid

Katika mfumo wa kampeni ya Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan ya kufeli mpango wa Marekani wa kuitenganisha Darfur, ujumbe kutoka Hizb ut-Tahrir, ukiongozwa na Ustadhi Al-Nadhir Muhammad Hussein Abu Minhaj, mjumbe wa baraza la Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan, akifuatana na Ustadhi Muhiuddin Kajor, na Ustadhi Muhammad Saeed Boukeh, wajumbe wa chama, walifanya ziara siku ya Jumanne 2025/11/11, kwa idadi ya mawakili mashuhuri katika mji wa Al-Ubayyid, ambapo kiongozi wa ujumbe aliwaeleza lengo la kampeni ya chama, na jinsi tunavyoweza kufeli mpango huo mbaya.

9 / 10603