Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Kusoma Qur'ani katika Jumba Kuu la Makumbusho la Misri Wakati Ukumbusho Unapingwa na Batili Inahalalishwa!!

Kusoma Qur'ani katika Jumba Kuu la Makumbusho la Misri Wakati Ukumbusho Unapingwa na Batili Inahalalishwa!!

Tukio la kukamatwa kwa kijana aliyesoma aya zinazozungumzia Firauni ndani ya Jumba Kuu la Makumbusho la Misri limezua wimbi kubwa la mabishano, baada ya baadhi ya watu wanaohusishwa na taasisi rasmi za kidini kukataa kitendo chake, wakikitaja kuwa "ukosefu wa adabu kwa Qur'ani" na kwamba kina "ashirio hatari"! Tukio hili, katika unyenyekevu wake, linafichua kasoro kubwa katika mizani ya kiakili na kimaadili ambayo inaongoza maisha ya umma leo, na linafichua viwango viwili ambavyo vitendo vya watu vinahukumiwa chini ya mifumo inayotegemea mawazo ya kilimwengu.

8 / 10603