Kutoka katika maneno na semi za Amir wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkuu Ata bin Khalil Abu Al-Rashtah
Kutoka katika maneno na semi za Amir wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkuu Ata bin Khalil Abu Al-Rashtah
Kutoka katika maneno na semi za Amir wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkuu Ata bin Khalil Abu Al-Rashtah
Habari:
Habari:
Habari:
Himdi ni ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu, na sala na salamu zimwendee Imamu wa wacha Mungu, na Bwana wa Mitume, aliyetumwa kuwa Rehema kwa walimwengu, Bwana wetu Muhammad na kwa Aali zake na Masahaba zake wote, na utufanye pamoja nao, na utuhusishe katika kundi lao kwa Rehema Yako, Ee Mwingi wa Rehema kuliko wote wenye kurehemu.
Kwamba dola ya Waislamu ni Khilafa, nayo ni uongozi mkuu kwa Waislamu wote duniani, hivyo basi akitawazwa Khalifa kwa utawazo sahihi katika nchi yoyote katika nchi za Waislamu na Khilafa ikasimamishwa, basi inaharamu kwa Waislamu katika kila sehemu ya dunia.
Miongoni mwa mambo yenye manufaa ni kukamilisha kazi mara moja, na kuwa na muda wa ziada katika siku zijazo kwa sababu kazi zisipokamilishwa, mabaki ya kazi zilizopita yatakusanyika, na kazi za baadaye zitaongezeka, na uzito wake utaongezeka, lakini ukikamilisha kila kitu kwa wakati wake, utafanya mambo yajayo kwa nguvu ya mawazo na nguvu ya kazi.
Balozi wa Sudan nchini Washington, Mohamed Abdullah Idris, alitangaza kujitolea kwa serikali kwa ramani ya njia iliyotangazwa, ambayo inaishia na uchaguzi huru, na uangalizi wa kimataifa ambapo watu huchagua wawakilishi wao. Tangazo hili lilitolewa katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika na balozi Jumamosi, 8/11/2025. Mnamo Septemba 14, 2025, gazeti la Al-Sharq Al-Awsat liliripoti taarifa kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje, Mohi El-Din Salem, ambaye alisema:
· Mkutano mkuu wa kimataifa wa misaada kwa ajili ya Gaza utafanyika Jumanne ijayo huko Istanbul
Kila mara tunapoletewa "nembo mpya" yenye mizizi ya Kiislamu au sura za Mashariki, Waislamu wengi hushangilia, na matumaini hujengwa juu ya udanganyifu unaoitwa "uwakilishi wa kisiasa" katika mfumo wa kikafiri ambao hautambui Uislamu kama hukumu, itikadi, au sheria.