Ndio, mko Gaza na Gaza inaharibiwa!
Habari:
Habari:
Habari:
Mfululizo wa Vipindi - Jinsi Ukhalifa Ulivyobomolewa - Sehemu ya 9
Jimbo la Tunisia: Kongamano la Wanahabari "Chama cha Ukombozi kinaitaka Mamlaka na Upinzani kuwa na Msimamo Mmoja"
Katika muongo uliopita, Amerika imejidhihirisha kama mchochezi wa baadhi ya migogoro mibaya na ya kikatili zaidi ulimwenguni. Kuanzia Urusi na Ukraine hadi India na Pakistan, hadi Uchina na Taiwan, hadi Syria, Iraq, Afghanistan, Yemen, Kenya, Mali na Cameroon, hizi ni mifano michache tu! Walakini, hakuna hata moja iliyoifichua Amerika zaidi ya uungaji mkono wake wa wazi na ushiriki katika mauaji ya kimbari yanayofanywa Gaza dhidi ya watu wa Palestina.
Televisheni ya Al-Waqiyah: Itikadi ya Uislamu ni Itikadi ya Kisiasa!
Ardhi Iliyobarikiwa: Neno la Msikiti "Umma Usioshindika, Ahadi ya Mungu ya Ushindi na Utawala!"
Katika nyakati ambazo mizani hubadilika, na sauti ya ubatili inasikika, baadhi wanaweza kufikiria kwamba ubatili umekuwa haki, kwamba dhuluma imevaa vazi la uadilifu, kwamba ukandamizaji umekuwa sera, ukatili hekima, na udhalimu mfumo. Lakini ukweli, ingawa usiku wake ni mrefu, haufutiki, na ubatili, ingawa una nguvu kwa kiti cha enzi cha mamlaka, haubadilika kuwa fadhila.