Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Abu Wadaha News: Ujumbe kutoka Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan Wakutana na Mkuu wa Baraza la Maulamaa katika Jimbo la Nile Nyeupe

Abu Wadaha News: Ujumbe kutoka Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan Wakutana na Mkuu wa Baraza la Maulamaa katika Jimbo la Nile Nyeupe

Siku ya Jumatatu iliyopita, 8/9/2025, katika mji mkuu wa Nile Nyeupe; Mji wa Rabak, ujumbe kutoka Hizb ut-Tahrir/ Jimbo la Sudan, ulikutana na Sheikh Allama Abdullah Al-Nour Toutou, Imamu na Khatibu wa Msikiti Mkuu wa Asalaya, na Mkuu wa Tawi la Nile Nyeupe la Baraza la Maulamaa wa Sudan nyumbani kwake katika kitongoji cha Asalaya. Ujumbe huo ulikuwa chini ya uongozi wa Dkt. Ahmed Mohamed, mwanachama wa Hizb ut-Tahrir, akifuatana na Maprofesa Faisal Madani, Abdul Majeed Othman Abu Hajar, na Al-Zein Abdul Rahman; Wajumbe wa Hizb ut-Tahrir, ambapo mkutano huo ulikuwa sehemu ya kampeni ya Hizb ut-Tahrir ya kuzuia kujitenga kwa Darfur.

Ujumbe kutoka Hizb ut-Tahrir/ Jimbo la Sudan Wakutana na Mkuu wa Halmashauri ya Wanazuoni katika Jimbo la Nile Nyeupe

Ujumbe kutoka Hizb ut-Tahrir/ Jimbo la Sudan Wakutana na Mkuu wa Halmashauri ya Wanazuoni katika Jimbo la Nile Nyeupe

Siku ya Jumatatu iliyopita, 2025/9/8, katika mji mkuu wa Nile Nyeupe; mji wa Rabak, ujumbe kutoka Hizb ut-Tahrir/ Jimbo la Sudan, ulikutana na Sheikh Allama Abdullah Al-Nour Toto, Imamu na Khatibu wa Msikiti Mkuu wa Asalaya, na Mkuu wa Tawi la Halmashauri ya Wanazuoni wa Sudan la Nile Nyeupe nyumbani kwake katika wilaya ya Asalaya. Ujumbe huo ulikuwa chini ya uongozi wa Dk. Ahmed Mohamed, mwanachama wa Hizb ut-Tahrir, akiambatana na maprofesa, Faisal Madani, Abdel-Magid Othman Abu Hajar, na Al-Zein Abdel-Rahman; wanachama wa Hizb ut-Tahrir, ambapo mkutano huo ulikuwa sehemu ya kampeni ya Hizb ut-Tahrir ya kuzuia kujitenga kwa Darfur.

Ujumbe kutoka Hizb ut-Tahrir/ Jimbo la Sudan Wakutana na Mkurugenzi wa Idara ya Khalawi na Misikiti katika mji wa Port Sudan

Ujumbe kutoka Hizb ut-Tahrir/ Jimbo la Sudan Wakutana na Mkurugenzi wa Idara ya Khalawi na Misikiti katika mji wa Port Sudan

Ujumbe kutoka Hizb ut-Tahrir/ Jimbo la Sudan, chini ya uongozi wa Ustadhi Nasser Reda, Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut-Tahrir katika jimbo la Sudan, akiambatana na Ustadhi Abdullah Ismail, mwanachama wa Kamati ya Mawasiliano, walimtembelea Sheikh Onour Muhammad Ahmed, Mkurugenzi wa Idara ya Khalawi na Misikiti katika mji wa Port Sudan ofisini kwake, kama sehemu ya kampeni inayoandaliwa na chama, ili kukwamisha mpango wa kuigawa Sudan kwa kutenganisha Darfur.

Amerika Mkoloni Inatumia Wakala Wake Excelerate Energy Kudhibiti Bandari Zetu Muhimu na Bahari Zetu Ili Kuimarisha Utawala Wake wa Kisiasa na Kijografia

Amerika Mkoloni Inatumia Wakala Wake Excelerate Energy Kudhibiti Bandari Zetu Muhimu na Bahari Zetu Ili Kuimarisha Utawala Wake wa Kisiasa na Kijografia

Balozi wa zamani wa Marekani nchini Bangladesh, Peter D. Haas, alifanya mkutano wa takriban saa moja na Waziri wa Mambo ya Nje Asad Alam Siam Alhamisi, Septemba 4. Ingawa hakuna upande wowote uliofichua maelezo ya mazungumzo hayo, vyanzo vya habari viliripoti kwamba mazungumzo hayo yalijadili uwezekano wa kuagiza gesi asilia iliyoyeyushwa kutoka Marekani, pamoja na ushirikiano uliopo na miradi ya baadaye.

120 / 10603