Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Abu Wadaha News: Ripoti ya Habari Kuhusu Kongamano la Masuala ya Umma la Hizb ut-Tahrir Wilaya ya Sudan

Abu Wadaha News: Ripoti ya Habari Kuhusu Kongamano la Masuala ya Umma la Hizb ut-Tahrir Wilaya ya Sudan

Kongamano la masuala ya Umma la kila mwezi lenye kichwa: (Mpango wa Marekani wa Kuikata Darfur na Jinsi ya Kuufelisha) lilifanyika leo Jumamosi, 14 Rabi' al-Awwal 1447 Hijria, sawa na 06/09/2025 Miladia, katika ofisi ya Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan katika mji wa Port Sudan. Katika karatasi ya kwanza iliyokuwa na kichwa: (Mzozo huko Darfur na mipango ya kafiri mkoloni ya kuitenganisha), Ustadh Naser Reda - mkuu wa kamati ya mawasiliano mkuu ya Hizb ut-Tahrir katika Wilaya ya Sudan, alianza mazungumzo yake na historia kuhusu Darfur, kama ufalme wa zamani, uliokuwa ukiitwa Ufalme wa Darfur,

122 / 10603