Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Jarida la Ar-Raya: Utawala wa Kidijitali ni nini na Nani Anao?

Jarida la Ar-Raya: Utawala wa Kidijitali ni nini na Nani Anao?

Tunapozungumzia kuhusu utawala, akilini huja mipaka, ramani na majeshi. Lakini katika enzi ya mitandao ya kielektroniki na mabadiliko ya kidijitali, aina nyingine ya utawala imeibuka inayojulikana kama utawala wa kidijitali. Ni uwezo wa nchi kuamua bila usimamizi kutoka kwa upande wowote jinsi ya kujenga miundombinu ya kidijitali? Data zao zinahifadhiwa wapi? Ni viwango gani vinavyopitishwa? Na jinsi gani uchumi na raia wanalindwa kutokana na mashambulizi ambayo hayaonekani kwa macho? Yeyote anayemiliki uwezo huu haishii kulinda anga yake ya kielektroniki; bali anapata ushawishi wa kisiasa na kiuchumi unaozidi jiografia.

Jarida la Ar-Raya: Mada Mbalimbali za Ar-Raya – Toleo la 563

Jarida la Ar-Raya: Mada Mbalimbali za Ar-Raya – Toleo la 563

Hakika Palestina, kama ilivyorudi jana kutoka kwa Wasalibiji katika himaya ya Umma mikononi mwa wanajeshi waliokusanyika kuiokomboa kutoka mashariki na magharibi mwa nchi za Kiislamu, basi ina kurudi nyingine karibu kwa idhini ya Mungu kwa mikono iliyotawadha kutoka kwa watoto wa Umma ili iwe lulu ya Shamu na kitovu cha Waislamu. ﴿Basi itakapokuja ahadi ya mwisho, ili waziharibu nyuso zenu, na waingie msikitini kama walivyoingia mara ya kwanza, na waharibu kabisa kila walichokishinda.﴾

131 / 10603