Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Haki na uhalifu wa taasisi ya Kiyahudi katika Gaza na Yemen hautaweza kusimamishwa ila na Ukhalifa Rashidah wa Pili kwa msingi wa Utume, mlinzi wa Waislamu

Haki na uhalifu wa taasisi ya Kiyahudi katika Gaza na Yemen hautaweza kusimamishwa ila na Ukhalifa Rashidah wa Pili kwa msingi wa Utume, mlinzi wa Waislamu

Jana Jumatatu, 2025/09/01M, miili ya Waziri Mkuu na Mkuu wa Serikali ya Mabadiliko na Ujenzi huko Sana'a, Ahmed Ghaleb Nasser Al-Rahwi, ilisafirishwa pamoja na kundi la mawaziri, ambao ni Jaji Mujahid Ahmed Abdullah Ali - Waziri wa Sheria na Haki za Binadamu, Moin Hashem Ahmed Al-Mahaqari - Waziri wa Uchumi, Viwanda na Uwekezaji, Radwan Ali Ali Al-Rubaie - Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Rasilimali za Maji, Jamal Ahmed Ali Amer - Waziri wa Mambo ya Nje na Wahamiaji, Ali Saif Mohammed Hassan - Waziri wa Umeme, Nishati na Maji, Ali Qassem Hussein Al-Yafie - Waziri wa Utamaduni na Utalii, Samir Mohammed Ahmed Bajaalah - Waziri wa Masuala ya Kijamii na Kazi, Hashem Ahmed

132 / 10603