Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Muhtasari wa Kitabu cha Vyombo – 10

Muhtasari wa Kitabu cha Vyombo – 10

Habari ni jambo muhimu kwa da'wa na dola, na kuwepo kwa sera ya habari mahususi inayowasilisha Uislamu kwa njia yenye nguvu na yenye ushawishi huathiri kukubalika kwa watu kwa Uislamu. Kuna habari ambazo lazima ziunganishwe na Imamu ili kuamua nini kifichwe na nini kitangazwe, haswa mambo ya kijeshi na habari za mazungumzo na mijadala, lakini habari zingine za kila siku zinaingiliana na mtazamo wa maisha, kwa hivyo usimamizi wa serikali unahitajika juu yao lakini kwa njia tofauti na aina ya kwanza ya habari, aina ya kwanza ya habari ina mzunguko maalum ambao kazi yake ni ufuatiliaji wa moja kwa moja na haitangazwi isipokuwa baada ya kuwasilishwa kwa chombo cha habari, lakini aina ya pili ina mzunguko maalum unaoifuatilia kwa njia isiyo ya moja kwa moja, na vyombo vya habari haihitaji ruhusa katika uwasilishaji wake.

Mfululizo wa "Ukhalifa na Uimamu katika Fikra ya Kiislamu" - na Mwandishi na Mfikiriaji Thair Salama - Abu Malik - Sehemu ya 41

Mfululizo wa "Ukhalifa na Uimamu katika Fikra ya Kiislamu" - na Mwandishi na Mfikiriaji Thair Salama - Abu Malik - Sehemu ya 41

Na wamepata maafikiano yao juu ya ulazima wa kusimamisha Ukhalifa, hakuna aliyetofautiana na hilo, na uhawilishaji huu kuhusu kupatikana kwa maafikiano haya katika suala hili umetuhawilishiwa kwa uhawilishaji wa tawatur, hivyo ni wa yakini, na tutatoa mifano michache ya kile ambacho baadhi ya wanavyuoni wameamua: A- Amesema Ibn Khaldun (katika Muqaddima): "Hakika kumsimamisha Imamu ni wajibu, ulazima wake umejulikana katika sheria kwa maafikiano ya Masahaba na Tabiina; kwa sababu Masahaba wa Mtume ﷺ alipofariki waliharakisha kumpa ahadi ya utiifu Abu Bakr radhi za Allah ziwe juu yake na kumkabidhi usimamizi wa mambo yao, na hivyo hivyo katika kila zama baada ya hapo na watu hawakuachwa katika machafuko katika zama zozote, na hilo liliimarika kama maafikiano yenye kuashiria ulazima wa kumsimamisha Imamu." Yaani, umma umehamisha maafikiano haya na yameimarika nao kizazi baada ya kizazi, na tabaka baada ya tabaka, hivyo kuwepo kwa maafikiano ni tawatur.

Kuvuliwa Silaha kwa Hizbullah wa Iran na Jukumu la Mamlaka ya Lebanon!

Kuvuliwa Silaha kwa Hizbullah wa Iran na Jukumu la Mamlaka ya Lebanon!

Makubaliano ya kusitisha mapigano ya tarehe 27 Novemba 2024 BK kati ya chombo cha Kiyahudi na Mamlaka ya Lebanon chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa Marekani, yameweka msingi wa kisiasa wa kuvuliwa silaha kwa Hizbullah wa Iran na silaha nyinginezo za makundi ya Kipalestina nchini Lebanon, si kwa sababu ya kupenda "amani" kutoka Marekani, bali kuhakikisha usalama wa chombo cha Kiyahudi ili kuandaa kutokomezwa kwa chochote kilichosalia cha uwezo mdogo wa Waislamu kupigana nao, haswa baada ya matukio ya kimbunga cha Al-Aqsa... Makubaliano haya ni sehemu ya mpango mkuu wa usalama unaoongozwa na Marekani ili kurekebisha mdundo

Usaliti wa Nchi za Kiarabu: Kusafirisha Chakula kwa Adui Mdhulumu Anayewafanya Watu wa Gaza Kuwa na Njaa!

Usaliti wa Nchi za Kiarabu: Kusafirisha Chakula kwa Adui Mdhulumu Anayewafanya Watu wa Gaza Kuwa na Njaa!

Katika mandhari inayochoma mioyo na kuliza macho, watu wa Gaza wanauawa kwa njaa na mashambulizi, huku nchi za Kiarabu zikisafirisha mboga, matunda na mafuta kwa taasisi ya uvamizi, na kuwafungulia milango yao ya kibiashara waziwazi, na kuipatia mafuta na chakula muhimu ili kuendeleza uchokozi wake, na kuwanyima watoto wa Gaza wanaolia kwa njaa, ugonjwa na kiu! Ni picha inayoonyesha usaliti mkuu katika picha zake dhahiri zaidi.

173 / 10603