Jarida la Ar-Rayah: Vichwa vya habari muhimu vya toleo (557)
Jarida la Ar-Rayah: Vichwa vya habari muhimu vya toleo (557)
Jarida la Ar-Rayah: Vichwa vya habari muhimu vya toleo (557)
Katika hotuba yake baada ya kuapishwa kuwa Waziri Mkuu, Kamel Idris alisema: "Kauli mbiu yetu ni matumaini na ujumbe ni kufikia usalama, ustawi na maisha mazuri kwa kila raia wa Sudan"! Katika taarifa yake ya kwanza kwa vyombo vya habari, alisema kuwa atatumia muda wake na juhudi zake kufanikisha maisha bora kwa kila Msudan.
Ardhi Iliyobarikiwa: Hotuba ya Msikiti "Ewe Mwenyezi Mungu, lipize kisasi kwa watawala wa Waislamu na uwatese kwa adhabu ya kudhalilisha"
Ardhi Iliyobarikiwa: Hotuba ya Msikiti "Licha ya Msiba, Sisi ni Watu wa Ahadi!"
Ofisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Jimbo la Syria
Mkutano na Vyombo vya Habari wa Kila Wiki
[Televisheni ya Al-Waqiyah]
Hakika wito wa kusimamisha Khilafah Rashidah kwa njia ya Utume ambayo Hizb ut Tahrir inafanyia kazi, unavuka mipaka bandia iliyochorwa na ukoloni kati ya nchi za Waislamu baada ya kuibomoa Khilafah Uthmaniyyah, ni wito wa ulimwengu mzima kwa Waislamu wote duniani; bali na kushikamana na kamba ya Mwenyezi Mungu madhubuti, basi ni uongozi mkuu kwao, na Hizb imeandaa kwake rasimu ya katiba iliyo istinbat kutoka Kitabu na Sunnah, yenye kujumuisha vifungu katika uchumi, siasa za nje, vita, jamii, elimu, afya, fedha na kila kinachohitajika kwa utekelezaji kivitendo kuanzia siku ya kwanza ya kuisimamisha kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, ambayo dalili zake zimeanza kudhihirika na umati wa Waislamu unazitamani.
Zelensky alisisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano kati ya Ukraine na Shirika la Nchi za Magharibi (NATO) na kuongeza matumizi ya ulinzi ya nchi wanachama. Hapo awali, tovuti ya Axios ilifichua kuwa Marekani inapanga kuuza silaha zenye thamani ya karibu dola bilioni 10 kwa washirika wake katika shirika hilo katika awamu ya kwanza, na kisha silaha hizi zitapelekwa Ukraine.