Jimbo la Sudan: Khutba ya Ijumaa "Ibaada katika Uislamu ni dini na kutoka kwake ndio dola!"
Jimbo la Sudan: Khutba ya Ijumaa "Ibaada katika Uislamu ni dini na kutoka kwake ndio dola!"
Jimbo la Sudan: Khutba ya Ijumaa "Ibaada katika Uislamu ni dini na kutoka kwake ndio dola!"
Televisheni ya Al-Waqiyah: Khutba ya Ijumaa "Tunaona kivuli cha Amerika na hatuoni uweza wa Mwenyezi Mungu!"
Ardhi Iliyobarikiwa: Neno la Msikiti "Kati ya Gaza na Al-Suwaida!"
Ardhi Iliyobarikiwa: Hotuba ya Ijumaa "HAKI INASTAHILI KUFATWA ZAIDI!"
Ardhi Iliyobarikiwa: Neno la Msikiti "Kwa kuamrisha mema na kukataza maovu jahazi la Waislamu huokoka!"
Baada ya kampeni mbaya ya kumharibia sifa mmoja wa vijana wetu, iliyoanzishwa na vyombo vya habari na wanasiasa - ikitegemea tu itikadi zake na maadili ya Kiislamu - vyama vitatu katika serikali ya Denmark vilifanya upya wito wao wa kisiasa wa kupiga marufuku Hizb ut-Tahrir nchini Denmark. Hii si mara ya kwanza kwa wanasiasa wa Denmark kutumia "karatasi ya marufuku" kwa msukumo wa kukata tamaa. Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma, katika matukio matatu tofauti, alihitimisha kuwa hakuna msingi wa kikatiba kwa marufuku kama hiyo.
Pamoja na Quran Tukufu - Surat Al-Kahf
Tunawasalimu nyote wapenzi wasikilizaji kila mahali katika kipindi kipya cha programu yenu Pamoja na Hadithi Tukufu na tunaanza na salamu bora, Assalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh,
Habari: