Vita vya Gaza na wasiwasi wa vyama na wasomi tawala katika nchi za Magharibi kuhusu hatima yao katika uongozi
Umoja wa Ulaya unazingatia kuchukua hatua kali za kinidhamu dhidi ya taasisi ya Kiyahudi kutokana na ukiukaji wake wa haki za binadamu huko Gaza, ikiwa ni pamoja na hatua kumi zinazowezekana