Hali, Damu na Rasilimali za Waislamu Zimehalalishwa Mbele ya Maadui Zao, Suluhisho Liko Wapi?
Habari:
Habari:
null
Misingi ya Elimu ya Kimfumo katika Dola ya Ukhalifa - Sehemu ya 18 - Mtihani Mkuu na Tathmini ya Shule
Dhana ya Utawala
Mbinu za Waarabu Katika Usemi - 14
Televisheni ya Al-Waqiyah: Khutba ya Ijumaa "Viongozi wa Sham kati ya ahadi yao na Mwenyezi Mungu na ahadi yao na Trump!"
Televisheni ya Al-Waqiyah: Mwenyezi Mungu ametufunza!
Baada ya siku kadhaa za mapigano makali ya umwagaji damu ambayo yaliua mamia ya ndugu zetu mashahidi, Wizara ya Ulinzi ilitangaza, Jumatano, kwa mshangao, kushtua, na kinyume na matarajio, kuanza kwa uondoaji wa vikosi vya Jeshi la Syria kutoka mji wa As-Suwayda, baada ya wito wa Marekani wa kuondolewa kwa vikosi vya serikali kutoka jimbo hilo, na baada ya ndege za utawala wa Kiyahudi kuzindua mfululizo wa mashambulizi makali dhidi ya Damascus Jumatano, 2025/7/16, kulenga jengo la makao makuu, Wizara ya Ulinzi, na eneo linalozunguka Ikulu ya Rais, na baada ya makombora ya awali kulenga maeneo kadhaa katika maeneo ya mashambani ya Damascus.
Shirika la Kiyahudi: Ishara kwa Dameski zimekwisha, na sasa mapigo makali yatakuja