Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Jarida la Ar-Raya: Pakistan Lazima Itambue Ukubwa wa Nguvu Zake Ili Kujiweka Huru Kutoka Utawala wa Kimarekani na Kihindi (Kimetafsiriwa)

Jarida la Ar-Raya: Pakistan Lazima Itambue Ukubwa wa Nguvu Zake Ili Kujiweka Huru Kutoka Utawala wa Kimarekani na Kihindi (Kimetafsiriwa)

Tangu kusitishwa kwa mapigano kulikosimamiwa na Rais wa Marekani Donald Trump, Pakistan imeonyesha hamu kubwa ya kuanzisha mazungumzo ya kina na India kuhusu masuala kadhaa ya kiusalama, ikiwa ni pamoja na mustakabali wa Kashmir, kupunguza mivutano kwenye mstari wa udhibiti, na muhimu zaidi, kubatilisha uamuzi wa India wa kusitisha mkataba wa maji wa Indus, kwani mkataba huu unaipatia Pakistan takriban 80% ya mahitaji yake ya maji kutoka mito mitatu mikuu ambayo ni: Indus, Chenab, na Ravi.

Jarida la Ar-Raya: Mada Mbalimbali za Ar-Raya – Toleo la 556

Jarida la Ar-Raya: Mada Mbalimbali za Ar-Raya – Toleo la 556

Ukandamizaji wa Waislamu kote ulimwenguni unatokana na kukosekana kwa mlinzi wa kweli wa umma wa Kiislamu, ambaye ni Khilafa. Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: «Hakika Imamu ni ngao, anapiganiwa nyuma yake na watu wanajikinga kwake». Kwa hivyo, tunapaswa kuungana ili kuianzisha, bila kujali hao watawala vibaraka. Na tunapaswa kutoa wito kwa watoto waaminifu wa umma katika majeshi, ili wampe nusra chama chaaminifu katika umma huu; Hizb ut-Tahrir, ili kuianzisha Khilafa Rashidah ya pili kwa njia ya Utume.

219 / 10603