Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Kuunga Mkono Uzembe: Je, Ni Chombo cha Kuokolea Mifumo, Au Jiwe Litakaloitumbukiza Shimoni?

Kuunga Mkono Uzembe: Je, Ni Chombo cha Kuokolea Mifumo, Au Jiwe Litakaloitumbukiza Shimoni?

Haifichiki kwa yeyote kwamba uzembe huu unaoongezeka kwa kasi ambao tunaanza kuona kila mahali (kuwatukuza wachezaji wa mpira wa miguu, waimbaji, wachezaji densi, watu wasio na akili, waovu,... na kuwamwagia pesa nyingi, na kuwafanya nyota, mifano, na kielelezo), sio matokeo ya bahati, sio hatima iliyoamuliwa, wala matokeo ya asili katika ulimwengu wa mawasiliano ya kielektroniki, lakini ni matokeo ya upangaji na ujanja wa mashetani wanadamu usiku na mchana, na maandiko mengi yameonekana katika eneo hili yanayothibitisha hili, na hata yanaeleza nadharia, na kuweka misingi na mifumo ya kudhibiti watu, kuwashawishi, kuwashughulisha na...

UTHIBITISHO WA TAIFA? AU TAIFA LISILO NA UTHIBITISHO?!

UTHIBITISHO WA TAIFA? AU TAIFA LISILO NA UTHIBITISHO?!

Katika mwaka wa kumi na tatu wa utume, wawakilishi wa kabila la Aus na Khazraj waliokuja kutoka Yathrib kwenda Makka walimpa Mtume ﷺ ahadi ya utawala, vita na utiifu. Basi Mtume ﷺ alihama kwenda kwao ili kupokea utawala kutoka kwao kwa mujibu wa ahadi hiyo. Na kwa kufika kwake ﷺ Madina na kuanza kwake hatua za utawala na mamlaka, lilianzishwa taifa la kwanza la Kiislamu, juu ya msingi mpya ambao ni itikadi ya Kiislamu, na akaanza ﷺ kulinda maslahi ya raia wake kwa sharia ya Mwenyezi Mungu ambayo ilianza kushuka na kuwepo kwa taifa hili, baada ya kuwa hakuna kilichoteremshwa kabla yake ila kidogo. Basi ulimwengu ulianza kulifahamu taifa jipya, lenye utambulisho mpya wa kistaarabu, na jamii yenye mfumo mpya wa maisha. Na macho ya ulimwengu yalizidi kuvutiwa na taifa hili kila lilipoongezeka kupanuka kwake, ambako kulifikia katika zama za dola ya Khilafa India

228 / 10603