Kutoka katika maneno na majibu ya Amir wa Hizb ut Tahrir, mwanachuoni mtukufu, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah

Habari:
Habari:
null
Imani Yetu Nguvu Yetu na Silaha Yetu - 20
Kusoma kijitabu cha Mkataba wa Umma - kutoka kwa machapisho ya Hizb ut-Tahrir - J11
Rasimu ya Katiba ya Dola ya Khilafa - Kifungu cha 171
Kufuatia hatua ya vijana wa Hizb ut Tahrir katika mji wa Al Qadarif kuwahutubia halaiki katika soko la Al Qadarif, karibu na hospitali ya meno, jana Alhamisi tarehe 23 Dhul Hijja 1446 Hijria, sawia na 2025/6/19 Miladia, ambapo Ustadh Awad Muhajir, mwanachama wa Hizb ut Tahrir, alizungumzia uhalisia wa vita na taasisi ya Kiyahudi, na furaha ya Waislamu kwa kuipiga taasisi hii, na hamu ya watu ya kushinda taasisi hii inayokalia ardhi takatifu, msafara wa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ, akisisitiza ulazima wa kusimamisha Khilafah Rashida kwa njia ya Utume,