Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Jimbo la Tunisia: Maombolezo ya Mbeba Da'wa, Ustadh Hassan Nower

Jimbo la Tunisia: Maombolezo ya Mbeba Da'wa, Ustadh Hassan Nower

Hizb ut Tahrir katika jimbo la Tunisia inamuomboleza mmoja wa wanaume wake kutoka kwa wabebaji da'wa, Ustadh Hassan Nower, ambaye amefariki dunia leo Ijumaa, tarehe 24 Dhul-Hijjah 1446 Hijria, sawa na 2025/6/20 Miladia, baada ya kuugua kwa muda mrefu, ugonjwa uliomlemesha mwili wake lakini haukuzima mwenge wa ujumbe wake wala azma yake ya kufanya kazi katika safu za wafanyakazi wa kurejesha maisha ya Kiislamu kwa kusimamisha Khilafah Rashidah kwa njia ya Utume.

"Baada ya kuanzishwa (Israeli) tulikabili ulimwengu wa Kiarabu ulioungana na tukaugawanya hatua kwa hatua"

"Baada ya kuanzishwa (Israeli) tulikabili ulimwengu wa Kiarabu ulioungana na tukaugawanya hatua kwa hatua"

Kwa maneno haya Netanyahu anawahutubia watu wake na ulimwengu, na anajigamba kana kwamba amefanya, na kama ilivyo ada ya watu wake, watu wa uzushi, anasema uongo na kudai yasiyo yake! Kabla ya kuwepo kwa taasisi ya waliokasirikiwa na kabla ya kubomolewa kwa dola ya Ukhalifa, Waislamu walikuwa umma mmoja uliounganishwa na dola moja, na umma huu haukugawanywa na wewe, bali uligawanywa na mabwana zako waliokuunda kwa jicho la uovu na hila, mabwana zako waliopigana na umma huu kwa karne nyingi na wakaonja nguvu zake na kushuhudia miji yao mikuu ikianguka moja baada ya nyingine; Kwa hivyo Constantinople ilifunguliwa na dada yake (Roma) alikaribia kuanguka, lakini uwezo wa Mungu unabaki kama hazina kwa ufunguzi mpya ujao, Mungu akipenda.

Kati ya udhalilishaji wa Palestina na Kashmir na kujisalimisha kwa Marekani, Munir atafanya nini mbele ya Firauni wa zama hizi, Trump?!

Kati ya udhalilishaji wa Palestina na Kashmir na kujisalimisha kwa Marekani, Munir atafanya nini mbele ya Firauni wa zama hizi, Trump?!

Wakati ambapo Marekani inazindua vita dhidi ya taifa jirani la Kiislamu la Iran, ikitumia mkono wake mchafu katika eneo hilo, dola ya Kiyahudi, Rais wa Marekani Donald Trump anamkaribisha kamanda wa jeshi la Pakistani, siku ya Jumatano 2025/06/18, katika chakula cha mchana katika mkutano ambao haujawahi kufanyika katika Ikulu ya White House, na kinachotia shaka katika mkutano huo na katika wakati huu ni kwamba hii ni mara ya kwanza kwa rais wa Marekani kumkaribisha kamanda wa jeshi la Pakistani katika Ikulu ya White House bila kuandamana na afisa mkuu yeyote wa kiraia wa Pakistani.

273 / 10603