Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
"Vita ya Kiitikadi ya Hijabu" Ni Mwangwi wa Kisasa wa Ukoloni wa Ulaya Unatumika Kupuuza Mauaji ya Kimbari huko Gaza na Kuwanyima Wanawake Waislamu Utambulisho wao wa Kiislamu

"Vita ya Kiitikadi ya Hijabu" Ni Mwangwi wa Kisasa wa Ukoloni wa Ulaya Unatumika Kupuuza Mauaji ya Kimbari huko Gaza na Kuwanyima Wanawake Waislamu Utambulisho wao wa Kiislamu

Leo, uwanja wa kisiasa unashuhudia vita mpya vya kiitikadi vinavyoendeshwa na vyama vya siasa za mrengo wa kulia na serikali za kidemokrasia zinazotoa wito wa kupigwa marufuku kwa hijabu, na Australia, Italia na Ureno zimejiunga na wimbi hili. Nchi hizi ni sehemu ya kundi pana la nchi za Ulaya ambazo tayari zimepiga marufuku hijabu, huku Ufaransa, Ubelgiji, Denmark na Uswizi zikiwa tayari zimeweka marufuku kamili ya hijabu katika maeneo yote ya umma, wakati Uholanzi na Ujerumani zina marufuku ya sehemu katika maeneo maalum kama vile taasisi za elimu na idara za serikali.

Watawala wa Pakistani Wanaogopa Muamko wa Kiislamu Unaokua Nchini Pakistani Na Kupitia Utekelezaji wa "Mpango wa Kitaifa," Wanajaribu Bila Mafanikio Kupambana na Muamko na Kuibadilisha Pakistani kuwa Nchi ya Kipolisi Zaidi

Kitendo cha uchokozi na ukatili cha watawala wa Pakistani dhidi ya maandamano ya Tiaar Lubbaik (TLP) kimezua mawimbi ya wasiwasi katika duru za kidini za Pakistani na kumshangaza kila Muislamu anayetambua. Hata hivyo, mbinu yao hii ya kikatili si ya pekee au ya kipekee; bali ni sehemu ya mfululizo wa hatua za mfululizo ambazo wamechukua hivi karibuni, na hatua hizi zimeongezeka walipokubali kubeba utekelezaji wa mpango wa Trump na watawala wengine wa nchi za Kiislamu, mpango ambao unalenga kuwalinda Wayahudi kutoka kwa watu wa Palestina. Waislamu wa Pakistani walipokataa mpango wa Trump,

40 / 10603