Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Jarida la Al-Raya: Watu waliasi dhidi ya dhuluma na ufisadi wa serikali ya Morocco, kwa hiyo iliwakabili kwa mashine yake ya ukandamizaji!

Jarida la Al-Raya: Watu waliasi dhidi ya dhuluma na ufisadi wa serikali ya Morocco, kwa hiyo iliwakabili kwa mashine yake ya ukandamizaji!

Morocco imeshuhudia mabadiliko mabaya katika muongo huu kutokana na ushiriki wa mfumo katika sera za kibepari zenye sumu, kwa kukabiliana na ukubwa wa ubepari wa Magharibi na makampuni yake ya kimataifa na programu za taasisi zake za kimataifa kama vile Shirika la Fedha la Kimataifa na Benki ya Dunia, ambayo ilizidisha hali kuwa mbaya na kubadilisha janga kuwa msiba, yaani, shauku ya ikulu na mzunguko wake finyu katika kupitisha sera hizi na kasi ya kuzitekeleza kwa sababu ndio mnufaika mkuu wa ndani nazo.

Jarida la Al-Raya: Vipimo vya ziara ya Trump nchini Uingereza

Jarida la Al-Raya: Vipimo vya ziara ya Trump nchini Uingereza

Trump alifanya ziara ya kihistoria nchini Uingereza mnamo 16/9/2025 kwa muda wa siku mbili, na alikuwa ameitembelea mwezi Juni 2019 wakati wa utawala wake wa kwanza. Ziara ya rais wa kwanza wa nchi duniani katika ngazi ya kimataifa nchini Uingereza, ambayo ilikuwa imeketi kwenye kiti kimoja kabla ya Vita vya Pili vya Dunia, haiwezi kuhesabiwa kwenye mahusiano ya kibiashara, mazungumzo ya ushuru, na uwekezaji katika tasnia ya teknolojia na akili bandia kama magazeti yanavyoeneza katika maelezo yao ya ziara.

Jarida la Ar-Raya: Mseto wa Ar-Raya – Toleo la 568

Jarida la Ar-Raya: Mseto wa Ar-Raya – Toleo la 568

Tuna hakika na ushindi wa Mwenyezi Mungu, na utukufu wa Uislamu na Waislamu, na kurejea kwa Ukhalifa ulioongoka na wenye jihadi, na kupigana na Wayahudi na kuwaua, na kuifungua Roma kama ilivyofunguliwa Constantinople na kuwa nyumba ya Uislamu "Istanbul"... Haya yote yako katika ahadi ya Mwenyezi Mungu na bishara ya Mtume wake ﷺ, na itakuwa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu... Lakini sunna ya Mwenyezi Mungu Mweza Mkuu, Mwenye Hekima imetaka kwamba tusiteremshiwe Malaika kutoka mbinguni watakaotuwekea Ukhalifa, na kutimiza ahadi ya Mwenyezi Mungu Mwenye Nguvu na Mwenye Uweza na bishara ya Mtume wake ﷺ na sisi tumekaa bila ya harakati, bali atatuteremshia Malaika watakaotusaidia na sisi tunafanya kazi kwa bidii, juhudi, ukweli na ikhlasi... Na kisha Mwenyezi Mungu atatufanikishia ushindi, na kufaulu katika dunia mbili, na huko ndiko kufaulu kukubwa.

69 / 10603