Kwa Nini Tony Blair?
Habari:
Habari:
Mhadhara wa 9 wa Wasifu wa Mtume - Kutafuta Nguvu
Mtazamo wa Kisiasa Katika Dalili za Saa - 09
Amesema Adhududdin Al-Iji (katika Al-Mawāqif): "Kumsimika Imamu kwetu ni wajibu kwetu kusikia... Ama ulazima wake kwetu kusikia ni kwa sababu mbili: Ya kwanza ni kwamba umeenea kwa itifaki ya Waislamu katika karne ya kwanza baada ya kufariki kwa Nabii kukataza kukosa wakati usio na Imamu mpaka Abu Bakr radhi za Allah ziwe juu yake alisema katika hotuba yake, "Hakika Muhammad amekufa na lazima dini hii imsimamie mtu." Basi wote walikimbilia kukubali na wakaacha jambo muhimu zaidi kwake, nalo ni kumzika Mtume wa Allah, na watu hawakuacha kufanya hivyo katika kila zama mpaka wakati wetu huu, kumsimika Imamu anayefuatwa katika kila zama.
Kinachoendelea Gaza si vita tu au uchokozi wa muda mfupi, wala si tukio la kusikitisha ambalo litasahaulika mwisho wa taarifa za habari, bali ni mtihani wa Mungu na mtihani wa kisheria kwa kila Muislamu mashariki na magharibi mwa dunia, ili Mungu aone tunachokifanya, na ni njia gani tunafuata.
Mazungumzo ya awamu ya kwanza katika mpango wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kusitisha vita dhidi ya Gaza yameanza Sharm el-Sheikh nchini Misri, yakihudhuriwa na wajumbe wa Marekani Steve Witkoff na Jared Kushner, Waziri Mkuu wa Qatar, na wakuu wa ujasusi wa Uturuki na Misri.
Mnamo 2025/10/9, ilitangazwa kufikiwa kwa makubaliano juu ya awamu ya kwanza ya utekelezaji wa mpango wa Trump huko Gaza, ambayo inajumuisha kusitisha mapigano na kubadilishana wafungwa Wayahudi na wafungwa kutoka kwa watu wa Palestina.
Kumfuata Mtume ﷺ ni wajibu, kwani aya za Qur'ani zinazoelekeza kuigwa kwake ni nyingi, kama vile kauli yake Mwenyezi Mungu: ﴿Hakika mna mfano mzuri kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu﴾ [Al-Ahzab: 21], na kauli yake Mwenyezi Mungu: ﴿Sema: Ikiwa mnamupenda Mwenyezi Mungu, basi nifuateni, Mwenyezi Mungu atakupendeni﴾ na kauli yake Mwenyezi Mungu: ﴿Na anachokupeni Mtume chukueni, na anachokukatazeni kiacheni﴾ [Al-Hashr: 7]
Rais wa Marekani Trump alitoa amri kwa taifa lake tegemezi la Kiyahudi siku ya Ijumaa ya tatu ya Oktoba akisema: "Lazima (Israel) isimamishe mara moja mashambulizi ya Gaza ili tuweze kuwatoa mateka kwa usalama na haraka."
Wakati Amerika inazidi kujitanua katika eneo la Mashariki ya Kati, na inafanya uharibifu kupitia chombo cha Kiyahudi kwa mauaji, uharibifu, na ufisadi katika ardhi, ikitegemea watawala wasaliti wanane huko Misri, Saudi Arabia, UAE, Jordan, Qatar, Uturuki, Pakistani na Indonesia, ambao walibariki mpango wa kishetani wa Trump wa kukomesha suala la Palestina, na kuifanya taasisi ya Kiyahudi kuwa bwana wa eneo hilo na mtoaji amri ndani yake, kwa wakati huu haswa mapinduzi ya vijana yanaibuka katika eneo la pili la nchi za Kiarabu, haswa katika eneo la Maghreb ili kutikisa nguzo za mifumo ya polisi iliyopo na kali zaidi ndani yake,