Shambulio la Taifa la Kiyahudi dhidi ya Qatar na Majibu yake
Habari:
Habari:
Habari:
Habari:
Mfululizo wa Vipindi - Jinsi Ufalme Uliangushwa - Sehemu ya 14
Ewe mwanangu! Na unapokuwa mcha Mungu, utaona kila kheri, kwani mcha Mungu haonyeshi kwa watu na wala hajiweki kwenye jambo linaloathiri dini yake, na yeyote anayehifadhi mipaka ya Mwenyezi Mungu, basi atahifadhiwa.
Ofisi ya habari ya Hizb ut-Tahrir huko Australia inatangaza kifo cha mmoja wa wabebaji wa Da'wah, ambaye ni miongoni mwa watu ambao upendo wao kwa Qur'an, kwa waumini, na kwa Da'wah uligusa mioyo ya wengi katika jamii, Mwenyezi Mungu amrehemu kwa rehema pana: Ndugu Khalid Ahmed Ibrahim Tarad "Abu Muhammad", ambaye amehamia katika rehema ya Mwenyezi Mungu leo, Jumapili 22 Rabi' al-Awwal 1447 Hijria, sawa na 14 Septemba 2025 AD.
Televisheni ya Al-Waqiyah: Kipindi cha Masuala ya Umma "Pigo la Qatar na Ujumbe wa Damu na Udhalimu!"
Umma wa Kiislamu unaishi katika hali ya uchungu, ukiharibiwa na migogoro kutoka kila upande, na umezidiwa na utegemezi wa kisiasa, kiuchumi na kijeshi kwa nchi za Magharibi zinazoendeleza ukoloni. Nchi zake zimegawanyika, mali zake zinaibiwa, damu yake inamwagwa, maeneo yake matakatifu yamechafuliwa, na watu wake wanataabika chini ya utawala wa mifumo dhalimu na yenye hiana, inayo hukumu kwa ukafiri, inalinda maslahi ya ukoloni na kutekeleza miradi yake. Katika hali hii, wabebaji wa da'wah wanaamka na amana kubwa, kwani haitoshi kutambua ugonjwa, lakini wajibu ni kuwapa umma dawa, na kuwaongoza kwenye njia ya kweli ya ukombozi, ambayo ni njia ya Uislamu na mradi wake kamili wa kisiasa wa kistaarabu unaowakilishwa na Khilafah Rashidah juu ya njia ya Utume.
Ardhi Iliyobarikiwa: Neno la Msikiti "Katika Kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa Mtume!"