Ardhi Iliyobarikiwa: Neno la Msikiti "Serikali Kibaraka na Watawala wa Kiislamu Ndio Hatari Kubwa Zaidi!"
Ardhi Iliyobarikiwa: Neno la Msikiti "Serikali Kibaraka na Watawala wa Kiislamu Ndio Hatari Kubwa Zaidi!"
Ardhi Iliyobarikiwa: Neno la Msikiti "Serikali Kibaraka na Watawala wa Kiislamu Ndio Hatari Kubwa Zaidi!"
Kama sehemu ya kampeni inayoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilaya ya Sudan kukwamisha mpango wa Amerika wa kuivunja nchi, kwa kuikata Darfur kutoka kwa mwili wa Sudan, chama kilifanya mkesha Alhamisi, 09/11/2025 AD, katika Msikiti wa zamani wa Al-Qadarif. Kufuatia sala ya Ijumaa, 09/12/2025 AD, ilifanya idadi ya mikesha katika miji mbalimbali ya Sudan, katika misikiti mikubwa katika Port Sudan, Al-Shawwak, Sinja, Rabak, Madani, Al-Abbasiya Taqli,
Katika vita vya Uhud, pale wapiga mishale walipokiuka amri ya Mtume ﷺ na kuacha nafasi zao kwa tamaa ya kupata ngawira, ushindi ulibadilika na kuwa kushindwa, na damu takatifu za Masahaba zikamwagika katika somo muhimu kuhusu umuhimu wa nidhamu ya kijeshi. Sababu ya kushindwa haikuwa uchache wa idadi au udhaifu wa vifaa, bali ni ukosefu wa kujitolea na kutii amri ya kiongozi, jambo ambalo linathibitisha kwamba ushindi hautengenezwi kwa panga pekee, bali kwa itikadi, nidhamu, na umoja wa malengo.
Amir wa Hizb ut Tahrir, na wanachama wa ofisi ya Amir, na Diwan Al-Madhalim, na Ofisi Kuu ya Habari, na Hizb ut Tahrir kwa ujumla... wanawapa pole Umma wa Kiislamu kwa kifo cha mwanachama wa ofisi ya Amir, Mwalimu Ahmed Bakr (Abu Osama), ambaye amefariki asubuhi ya leo, tarehe ishirini na mbili ya Rabi' al-Awal 1447 Hijria, sawa na tarehe kumi na nne ya Septemba 2025 Miladia, akiwa na umri wa miaka themanini na saba.
Taasisi ya Kiyahudi inaendeleza vita vya mauaji ya halaiki dhidi ya Ukanda wa Gaza, ikilenga sehemu mbalimbali za Ukanda huo kwa mashambulizi ya anga na makombora makali, na kusababisha makumi ya watu kuuawa na kujeruhiwa kila siku. Kwa majuma kadhaa, imekuwa ikiongeza mashambulizi yake dhidi ya mji wa Gaza, ambao umejaa watu na wakimbizi kutoka kaskazini mwa Ukanda huo, ikiwa ni maandalizi ya kuuteka tena, ambapo inalenga shule na vituo vya makazi, na inafanya operesheni kubwa za ulipuaji wa vitalu kamili vya makazi, na kuharibu majengo ya makazi, ikiambatana na maonyo kwa watu kuhama kuelekea kusini mwa Ukanda huo.
Waziri Mkuu wa Qatar asafiri kwenda Washington kujadili shambulio la shirika la Kiyahudi dhidi ya nchi yake
Licha ya kuanguka kwa dikteta Hasina baada ya watu kutoa dhabihu kubwa, matumaini na matarajio yao hayajatimizwa. Marekani, Uingereza na India bado zinaingilia waziwazi siasa za Bangladesh na kupanga njama za kukwamisha matarajio ya watu katika uasi huo. Serikali ya mpito, mlinzi wa uongo wa uasi huo, inawadanganya kwa jina la "mageuzi ya nchi", "mageuzi ya katiba", "tangazo la Julai," na "mkataba wa Julai," na inashughulika na kutekeleza sera za Marekani.
Pamoja na Qur'ani Tukufu - Surat Al-Imran
Tunawasalimu nyote wapenzi wasikilizaji kila mahali, katika kipindi kipya cha programu yenu "Pamoja na Hadithi Tukufu" na tunaanza na salamu bora, amani iwe juu yenu na rehema za Mungu na baraka zake