Jarida la Ar-Raya: Mada Mbalimbali za Ar-Raya – Toleo la 555
Enyi Waislamu: Hawa hapa watawala wenu wamejitokeza katika uhalisia wao, na imewadhihirikia kuwa wao wana hamu na maslahi ya maadui zenu na si maslahi yenu, bali wao wako tayari kuwatoa nyinyi kama kafara kwa maadui zenu kwa ajili ya kulinda viti vyao ambavyo nguzo zake zimepinda, na Gaza ni ushahidi mzuri, na hii hapa Iran imejitokeza mbele ya macho yenu, na imetanguliwa na Somalia, Iraq, Yemen, Libya na Syria, basi mnafanya nini, na mpaka lini mtabaki kimya juu yao?!