Pamoja na Qur'ani Tukufu - Sura Al-Israa
Pamoja na Qur'ani Tukufu - Sura Al-Israa
Pamoja na Qur'ani Tukufu - Sura Al-Israa
Pamoja na Hadithi Tukufu
Licha ya kupanda kwa sauti zinazotoa wito wa kusitishwa kwa vita vya Mayahudi dhidi ya Gaza, jeshi la Mayahudi bado linamwaga damu ya wasio na hatia katika kambi za wakimbizi huko Khan Yunis kusini mwa Ukanda wa Gaza, ambapo limetenda mauaji mapya ambayo yanaongezwa kwenye rekodi yake nyeusi.
Wakuu wa nchi na serikali wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Atlantiki ya Kaskazini walikutana The Hague, Uholanzi, Juni 24 na 25.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hivi karibuni lilifanya kikao maalum kujadili hali nchini Afghanistan. Katika kikao hicho, Rosa Otunbayeva, mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Usaidizi nchini Afghanistan (UNAMA), aliwasilisha mfumo mpya mpana unaoitwa "Mpango wa Musaiki". Alisisitiza kuwa mpango huu haulengi "kuhalalisha hali nchini Afghanistan", bali unalenga kukuza maslahi ya kweli ya watu wa Afghanistan.
Kufuatia mlipuko wa ghala la risasi katika mji wa al-Fouaa, mlipuko wa gari kaskazini mwa Idlib, na taarifa zinazokinzana kuhusu sababu.
Misingi ya Elimu ya Kimfumo katika Dola ya Ukhalifa - Sehemu ya 09 - Hukumu za Umri wa Ujana na Hatua za Ufundishaji
Mbinu za Waarabu katika Usemi - 05
Rasimu ya Katiba ya Dola ya Ukhalifa - Ibara ya 190
Ukiipenda nafsi yako na kuipa kila inachotamani, itakuwa vigumu kuiacha,