Ardhi Iliyobarikiwa: Neno la Msikiti "Nani atakomesha umwagaji damu Sudan na Palestina?!"
Ardhi Iliyobarikiwa: Neno la Msikiti "Nani atakomesha umwagaji damu Sudan na Palestina?!"
Ardhi Iliyobarikiwa: Neno la Msikiti "Nani atakomesha umwagaji damu Sudan na Palestina?!"
Pamoja na Qur'ani Tukufu - Sura Al-Kahf
Pamoja na Qur'ani Tukufu - Sura Al-Kahf
Tunawasalimu nyote wapenzi wetu popote mlipo, katika kipindi kipya cha programu yenu "Pamoja na Hadithi Tukufu" na tunaanza na salamu bora, Assalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh.
Habari:
Habari:
Habari:
Himdi ni ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu, na sala na salamu zimwendee imamu wa wachamungu, na bwana wa mitume, aliyetumwa kuwa rehema kwa walimwengu, bwana wetu Muhammad na kwa Aali zake na Masahaba zake wote, na utufanye tuwe pamoja nao, na utuhusishe katika kundi lao kwa rehema yako, Ee Mwingi wa rehema kuliko wote wenye kurehemu.
Fahamuni Enyi Waislamu - 01
Alisema Al-Hasan Al-Basri, Mungu amrahamu: Zungumzeni na hizi nyoyo, kwani zina haraka ya kuoza, na zipigeni hizi nafsi, kwani zina tamaa kubwa, kwa hivyo ikiwa hamtazizuia, zitakupelekeni kwenye mwisho mbaya zaidi.