Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Rada: Usitishaji wa Mizozo wa Nchi Nne na Hatari ya Kujadiliana kwa Msingi wa Ustaarabu wa Magharibi !!

Rada: Usitishaji wa Mizozo wa Nchi Nne na Hatari ya Kujadiliana kwa Msingi wa Ustaarabu wa Magharibi !!

Tangu nchi nne; ambazo pamoja na Marekani, zinajumuisha Saudi Arabia, Misri na Falme za Kiarabu, zilipotangaza taarifa yao mnamo 12/9/2025 kuhusu mzozo wa Sudan, watu wengi nchini Sudan wamegawanyika katika makundi mawili; kundi linalounga mkono taarifa ya nchi nne inayotoa wito wa mazungumzo na suluhu ya kisiasa, kwa madai kwamba inaleta amani, na kundi lingine linasema linakataa yaliyomo kwenye taarifa ya nchi nne, na linadai kuendelezwa kwa vita. Licha ya ukweli kwamba pande zote mbili ni Waislamu, hawajafanya Uislamu kuwa msingi wa kuanzia kutambua misimamo yao,

4 / 10603