Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Hatimaye Majeshi Yetu Yataingia Palestina Lakini Siyo Kuyatakasa Kutoka Kwa Wayahudi Bali Kumtumikia Trump

Hatimaye Majeshi Yetu Yataingia Palestina Lakini Siyo Kuyatakasa Kutoka Kwa Wayahudi Bali Kumtumikia Trump

Trump aliwakusanya wafuasi wake kutoka kwa watawala wa Kiislamu huko Cairo mnamo Oktoba 14, 2025 ili kujigamba kuhusu mafanikio yake katika kufikia makubaliano kuhusu Gaza. Mwandishi wa BBC katika Wizara ya Mambo ya Nje aliripoti mnamo Oktoba 10 kwamba "Marekani inahamisha hadi wanajeshi 200 ambao tayari wamewekwa Mashariki ya Kati hadi Israeli kuratibu operesheni hiyo, kulingana na maafisa wa Marekani. Jeshi la Marekani litaanzisha kile kinachoitwa kituo cha uratibu wa kiraia na kijeshi nchini Israeli, ambacho kitajumuisha karibu wanajeshi 200. Kitajumuisha vikosi kutoka nchi za Kiarabu na Kiislamu, ikiwa ni pamoja na Misri, Qatar na Uturuki".

Uungaji mkono wa Washington kwa mauaji ya kimbari unafichua unafiki wake na upinzani wake kwa maoni ya umma

Uungaji mkono wa Washington kwa mauaji ya kimbari unafichua unafiki wake na upinzani wake kwa maoni ya umma

Utawala wa sasa wa Amerika unaoongozwa na Trump unafuata nyayo za wateja wake katika nchi za Waislamu kutoka kwa watawala wa kidhalimu, ambao hawapimi kwa kipimo cha maoni ya umma, lakini wanatawala kwa udikteta kamili wakipuuza imani na maadili ya taifa. Licha ya ukweli kwamba kura za maoni za hivi karibuni za Amerika zinaonyesha kupungua kubwa kwa msaada wa Wamarekani wa kuipatia taasisi ya Kiyahudi silaha katika vita vyake dhidi ya Gaza, huku kukiwa na ongezeko la madai ya kuwekewa vikwazo kwa msaada wa kijeshi wa Amerika unaotolewa kwake, lakini Trump alijigamba katika hotuba yake mbele ya Knesset.

50 / 10603