Televisheni ya Al-Waqiyah: Kupata Ukweli Kunahitaji Fikra Angavu!
Televisheni ya Al-Waqiyah: Kupata Ukweli Kunahitaji Fikra Angavu!
Televisheni ya Al-Waqiyah: Kupata Ukweli Kunahitaji Fikra Angavu!
Pamoja na Qur'ani Tukufu - Surah An-Nahl
Nawasalimuni nyote wapenzi wasikilizaji kila mahali, katika kipindi kipya cha programu yenu "Pamoja na Hadithi Tukufu" na tunaanza na salamu bora, Assalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh.
Habari:
Habari:
Habari:
Kongamano la Kumi na Moja la Wasifu wa Kinabii - Uongozi wa Ardhi na Anga
Mtazamo wa Kisiasa katika Dalili za Saa - 11
Amesema Abu Al-Ma'ali Al-Juwayni (katika Ghiyath Al-Umam): "Uimamu: Uongozi mkuu, na uongozi kamilifu, unaohusiana na watu maalum na watu wa kawaida katika masuala muhimu ya dini na dunia, ukijumuisha kuhifadhi eneo na kuwatunza raia, na kusimamisha wito kwa hoja na upanga, na kuzuia uovu na dhuluma, na kuwapatia haki wanyonge kutoka kwa madhalimu, na kudai haki kutoka kwa wanaokataa na kuzitoa kwa wanaostahiki... Ikiwa imethibitika kuwa ni wajibu kumteua Imamu, basi kile ambacho wameelekea kwacho wanazuoni wengi ni kwamba ulazima wa kuteua unatokana na sheria iliyopokelewa...".
Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, watu wa Gaza wamekuwa wakikabiliwa na mashambulizi ya mara kwa mara, mzingiro wa kikatili, na uhalifu mbaya zaidi mikononi mwa adui muovu wa Kiyahudi, ambapo wanawake na watoto walikuwa wahanga wakuu. Watu 65,000 wameuawa, wakiwemo zaidi ya watoto 20,000, sawa na watoto 30 kwa siku. Watoto waliuawa kwa makusudi na risasi za wanajeshi wa Kiyahudi au moto wa ndege zisizo na rubani mitaani, au hata walipokuwa wanatafuta chakula katika vituo vya misaada ambavyo vimekuwa "mitego ya mauti" kwa wenye njaa. Kulingana na Shirika la Save the Children,