Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Mkoa wa Tunisia: Msafara wa Ukombozi "Wito wa Dharura kwa Maafisa na Wanajeshi: Nyinyi ndio Mnaoweza Kuangamiza Taifa la Kiyahudi"

Mkoa wa Tunisia: Msafara wa Ukombozi "Wito wa Dharura kwa Maafisa na Wanajeshi: Nyinyi ndio Mnaoweza Kuangamiza Taifa la Kiyahudi"

Msafara mkubwa ulifanyika katika mji mkuu wa Tunisia siku ya Ijumaa, Oktoba 10, 2025 kutoka mbele ya Msikiti wa Al-Fath, uliyoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Mkoa wa Tunisia, kuunga mkono Palestina na Al-Aqsa iliyotekwa, ambapo walitoa wito kwa watu wa Tunisia kushuka kutoa wito wa dharura kwa maafisa na wanajeshi chini ya kichwa "Nyinyi ndio mnaoweza kuangamiza taifa la Kiyahudi!", Na msafara ulianza, ambao ulihudhuriwa, kama kawaida, na umati mkubwa wa watu wa Tunisia kwa takbir na shangwe, na ulipita katika mitaa mikuu ya mji mkuu inayoongoza kwa Mtaa wa Mapinduzi na mabango yaliinuliwa wakati ambapo maandishi

66 / 10603