Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Matamshi ya Kawaida ni Tangazo la Wazi la Kuungana na Adui na Kutengana na Umma

Matamshi ya Kawaida ni Tangazo la Wazi la Kuungana na Adui na Kutengana na Umma

Siku za hivi karibuni zimeshuhudia mfululizo wa matamshi yaliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Badr Abdul-Ati wakati akishiriki katika makongamano ya kimataifa, maarufu zaidi kati yao ni msisitizo wake juu ya "umuhimu wa Israeli kuishi kwa amani na kuunganishwa katika eneo hilo", na "utayari kamili wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israeli" pamoja na Saudi Arabia na nchi nyingine, na tamko lake kwamba "suluhisho pekee la siku zijazo ni kuanzisha taifa la Palestina lililovuliwa silaha ambalo linaishi kwa amani na Israeli"... Matamshi haya yanaonyesha waziwazi mbinu ambayo serikali zilizopo katika nchi za Waislamu zinafuata;

73 / 10603