Hizb ut-Tahrir/ Wilaya ya Sudan Yaandaa Mkutano wa Kisiasa Khartoum
Katika kampeni yake ya kukwamisha mpango wa kuigawanya Sudan kwa kuitenganisha Darfur, vijana wa Hizb ut-Tahrir katika wilaya ya Sudan, waliandaa mkutano wa kisiasa huko Khartoum, katika eneo la soko la Al-Dukhinat Al-Awamra, asubuhi ya Jumamosi tarehe 4 Oktoba 2025 BK.