Vipi Makabila ya Yemen Yataathirika Ikiwa Wahouthi ni Wadudu?!
Waislamu katika wakati wetu huu wamejaribiwa na mifumo ya usaliti ambayo inatawala na sheria za kidunia potofu ambazo Mungu hakuziteremsha, inayowaunga mkono makafiri wavamizi, inatekeleza mipango yao, inalinda maslahi yao, inaeneza utamaduni wao, inatawala na sheria zao, na inawatafuta wakati wa hatari na kuwasha moto wa vita vya ndani na fitina kati ya Waislamu na kuwadhulumu raia wao na kuwatesa vibaya na kuhujumu masuala yao na kusimama upande wa maadui zao...