Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Mmeshutumu kwa miaka 77, haitoshi?! Na je, mmebaki na mistari myekundu ambayo haijavukwa?

Mmeshutumu kwa miaka 77, haitoshi?! Na je, mmebaki na mistari myekundu ambayo haijavukwa?

Mkuu wa Idara ya Mawasiliano katika Ikulu ya Uturuki, Burhanettin Duran, alilaani vikali uvamizi uliofanywa na baadhi ya mawaziri katika shirika la Kiyahudi pamoja na makundi yenye misimamo mikali katika Msikiti wa Al-Aqsa chini ya ulinzi wa polisi. Duran alisema katika taarifa yake: "Kama alivyosisitiza Rais wetu, Bwana Recep Tayyip Erdoğan, Msikiti wetu wa Al-Aqsa, kibla chetu cha kwanza, ni mstari wetu mwekundu" (TV 24, 2025/08/04).

Msururu wa "Ukhalifa na Uimamu katika Fikra ya Kiislamu" na Mwandishi na Mwanafikra Thair Salama – Abu Malik - Sehemu ya 37-

Msururu wa "Ukhalifa na Uimamu katika Fikra ya Kiislamu" na Mwandishi na Mwanafikra Thair Salama – Abu Malik - Sehemu ya 37-

Mwenyezi Mungu alimuwezesha Mtume wake katika uhai wake na umma wake baada yake ardhini na ukhalifa ulikuwa na nguvu na heshima, na Waislamu walitumia nguvu hii, heshima na uwezo katika kuhudumia Qur'an na Sunna, hivyo Qur'an ilikusanywa mara baada ya kifo cha Mtume ﷺ na ikachapishwa na kusambazwa katika miji mikuu katika zama za Sayyidna Uthman na nakala zote za Qur'an katika ulimwengu wa Kiislamu wakati huo zilichapishwa kutoka kwa Msahafu Imam ulioandikwa wakati wa Sayyidna Uthman na misahafu ikaenea.

Acheni, Inatosha Kujihusisha na Programu za Umoja wa Mataifa Kana Kwamba Nyinyi Mmo Wao!

Acheni, Inatosha Kujihusisha na Programu za Umoja wa Mataifa Kana Kwamba Nyinyi Mmo Wao!

Gazeti la kila siku la Al-Thawra, lililochapishwa Sana'a siku ya Alhamisi, Julai 31, liliripoti habari katika fonti nyekundu yenye kichwa "Yemen inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Usafirishaji Haramu wa Binadamu" ambapo lilisema: "Jamhuri ya Yemen iliadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Usafirishaji Haramu wa Binadamu, ambayo huadhimishwa Julai 30, kwa tukio la hotuba lililoandaliwa jana na Wizara ya Sheria na Haki za Binadamu. Katika tukio hilo, Waziri Mkuu Ahmed Ghalib Al-Rahawi alisisitiza kwamba usafirishaji haramu wa binadamu ni miongoni mwa uhalifu wa kutisha ambao hali ya sasa inayopitia nchi ya uchokozi, mzingiro na ukaliaji wa sehemu ya ardhi yake imechangia kuzorota na kuenea kwake kwa magenge ya usafirishaji haramu wa binadamu yanayohusiana na wenzao nje ya nchi."

Agosti 5, 2024 ni Siku ya Uasi wa Watu dhidi ya Dikteta Hasina na Utawala wa Kidikteta na "Tangazo la Julai" ni Hati ya Usaliti Iliyotolewa na Vyama vya Kisiasa Vya Kimarekani Ili Kukwamisha Uasi wa Watu

Agosti 5, 2024 ni Siku ya Uasi wa Watu dhidi ya Dikteta Hasina na Utawala wa Kidikteta na "Tangazo la Julai" ni Hati ya Usaliti Iliyotolewa na Vyama vya Kisiasa Vya Kimarekani Ili Kukwamisha Uasi wa Watu

Mwaka mmoja umepita tangu Hasina aanguke katika uasi wa umma mnamo Agosti 5, 2024, ambapo mfumo dhalimu wa kidikteta aliokuwa akiwakilisha ulianguka. Lakini watu, katika kilele cha kukata tamaa, waligundua kuwa vibaraka wa Amerika na vyama vya kisiasa vyenye tamaa ya madaraka walikuwa wamechukua hatamu za kuamua hatima yao, wakaweka vikwazo mbele ya utekelezaji wa matumaini na matarajio yao, na bado wanajaribu kwa bidii kuteka nyara uasi huu. Na kile kinachoitwa "Tangazo la Julai" kilikuwa hatua ya aibu katika njia hii mbaya.

180 / 10603