Machapisho ya Hivi Karibuni

Makala Iliyoangaziwa

null

null

Soma zaidi
Rada: Hizb ut-Tahrir Wilaya ya Sudan.. Taarifa kwa Vyombo vya Habari Amerika Inayotaka Kuikata Darfur Inazusha Suala la Abyei na Inatishia!

Rada: Hizb ut-Tahrir Wilaya ya Sudan.. Taarifa kwa Vyombo vya Habari Amerika Inayotaka Kuikata Darfur Inazusha Suala la Abyei na Inatishia!

Baada ya Sudan Kusini kujitenga na kaskazini mnamo 2011, eneo la Abyei liliachwa likiwa linazozaniwa na haikuamuliwa uhusiano wake na upande wowote; Kusini na Kaskazini, ambapo ilitarajiwa kuwa kura ya maoni ingefanyika Abyei mnamo 2011, sambamba na kura ya maoni ya Sudan Kusini, kuamua uhusiano wa eneo hilo na Kaskazini au Kusini, lakini kura ya maoni haikufanyika, kwa sababu ya mzozo kati ya nchi hizo mbili kuhusu ni nani anayestahili kupiga kura katika kura ya maoni!

19 / 10603